donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Ni kweli, patek philippe na rolex ni saa za ovyo sana dunianiZote ovyo tu
Mmmmh unamaanisha kweli?
Hahahahaa nimekuelewa mzee. Hata mimi nimeona aliyeziponda zile saa hana taarifa kuwa hajui kuhusu hizo na pia anafikiri asichokijua yeye basi duniani hakipo
Hahaha kweli mkuu umenisomaHahahahaa nimekuelewa mzee. Hata mimi nimeona aliyeziponda zile saa hana taarifa kuwa hajui kuhusu hizo na pia anafikiri asichokijua yeye basi duniani hakipo