Collaboration bora zaidi za Bongo Fleva

Pressure-Khafsa kazinja ft Banana zoro
Mpenzi nakupenda -Saida caroli ft banana zoro
Nipigie-At ft stara thomas
Utaambiwa-Rama dee ft Mapacha
Natamani-Wakali kwanza
Dar mpaka moro-Chege ,Yp & Mh temba
Twenzetu-Chege ft yp,Mh temba & Ferooz
Single boy-Ally kiba ft Lady jaydee
Nai nai-Ommy dimpoz ft Ally kiba
Nipe tano-Daz nundaz
Mikasi -Ngwea ft mkoloni,mchiz mox,ferroz,p funk & sister p
Nampemda yeye-Mh temba ft Dully
Amekoma-Mh temba ft qchief
Habari ndo hiyo -Ay & Fa
Asubuh Ay & Fa ft qchief
Dakika moja-Ay & Fa ft Hardmad
Nitoke vipi -Bwana misosi ft Hardmad
Nje ya box-Joh makini,Nikki wa pili & G.nako
Bei ya mkaa -,Joh makini ft Nikki wa pili
Niaje ni vipi -Joh makini & Nikki wa pili
Hawatuwezi -Lord eyez & Ibrah da husler ft Enika
Ndo zetu kuwakilisha-Lord eyez ,Ibrah da husler & G.nako
Ni hayo tuu -Fid q ft Prof jay & Langa
Sogea karibu-Steve rnb ft Dataz
Tuko juu-Albert mangwea ft steve rnb & Squeezer
Uvumilivu-Keisha ft squeezer
Crazy over you-kylin ft squeezer
Bachelor -Squeezer ft Ommy dimpoz
Nipe report-Spark & Tunda man ft Madee ally
Goma la manzese -Tip top connection
 
List yako ime kosa nyimbo ya mtazamo- Afande sele Prof & solo thang kijana una feli
 
Nyakati hizo waliimba kwa mashairi yaliyosheheni vina...

Sasa wanaimba vitu visivyoeleweka kwa lugha isiyoeleweka pia...

Nathubutu kusema bongo fleva& muvi kwa pamoja zipo ICU... nani atatangulia? No one knows.
 
Makamua ft Enika - Rudi Nyumbani
Joslin ft Makamua - Mshikaji mmoja
Wakali kwanza - Natamani

Hao jamaa walikuwa wakali kuliko WCB. Muziki haukulipa kivile miaka ile.Wasanii hawakuwa wabunifu kibiashara
 
Nitarejea

Diamond vs Hawa.

Collabo Bora kabisa kati ya mtu anayejulikana kwenye game na Asiyejulikana.

Hadi Leo Diamond Hajawahi kutoa ngoma Kali kama hii kwa upande wangu.
 
Kipindi hicho muziki muziki kweli, watu hawaangalii NANI kaimba wanaangalia NINI kimeimbwa. Tofauti na leo wasanii wanatoa nyimbo za hovyo ila majina yanawabeba
 
Kipindi hicho muziki muziki kweli, watu hawaangalii NANI kaimba wanaangalia NINI kimeimbwa. Tofauti na leo wasanii wanatoa nyimbo za hovyo ila majina yanawabeba
Kweli kbs, ss hv watu wamekremisha wasanii kila siku wale wale wkt wapo wasanii wengine wengi tu wanaotoa nyimbo nzuri lkn ndo hawapewi sapoti.
 
Leo ni wa east cost team sio wa GK
 
Mr 2 na mike t wameimba utanipenda? Sio yule mganda ndio kaimba na mike?
 

Umenikumbusha mbali sanaa
 
Ngwea & Jay Moe - Kimya Kimya, kwangu ndio collabo bora zaidi katika game. Pia kuna Fid Q & Ngwea - CNN na Jay Moe & AY - Misosi Mitungi na Pamba.

Cha kuongezea Jay Moe na Ngwea (R.I.P) naweza kusema ndio artists ambao ukiwashirikisha wanaweza kukumeza kwenye ngoma yako mwenyewe kama Eminem.

Daah, imenibidi ni_edit na kuongezea collabo ya Fa & Jay Moe - Ingekuwa Vipi. Nayo ni collabo matata sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…