Collabo La Mashems

Collabo La Mashems

Mbajirahisha mkitongozwa mnalalamika.
wewe kama mtu na mwanaume wakweli ukiona hayo lazima ujue jinsi ya kujibehave bana, na kingine kila jambo mnatupa lawama sisi kwamba nyie hamkosei...
unakuta mtu hana muda mnaanza kujifagilisha...
wanaume nyie vimeooooo
 
Lkn na nyie hamkatai...mtu atakutongoza kutokana na mazingira mliyojengeana...kama rafik yako anagawa wakat kaolewa wote si mnaonekana ndio walewale
 
Mmmnh.... Unajua kuna wanaume wengine wana hulka ya kupenda kutongoza...!

Sio kwamba anakuwa amekupenda basi tuu..

.Asipokutongoza anaona kama utamuona sio kidume kilicho kamilika...!!
 
Hivi hebu tuwe serious kidogo..rafiki yako mchepuko..shemeji yako naye mchepuko...so akikuchepukia unapata wapi moral ground za kuhoji kwa nini amekutongoza???

Is this you umbuje?
Nahisi unazeeka,mbona busara zimeongezeka kwa kasi hivi?
 
okoka kwanza km mimi

Kama Yesu mwenyewe aliukana utakatifu iweje wewe binadamu useme uu mtakatifu?? Hujaokoka kwa maana bado uko katika dunia ya dhambi mpendwa! Usemapo umeokoka ina maana wewe unahukumu! mamlaka hayo anayo Mungu peke yake kujua wenye dhambi na wasio na dhambi.
 
Mmmnh.... Unajua kuna wanaume wengine wana hulka ya kupenda kutongoza...!

Sio kwamba anakuwa amekupenda basi tuu..

.Asipokutongoza anaona kama utamuona sio kidume kilicho kamilika...!!

Neylu umeumbika vizuri kweli wewe dada.nakupenda sana! nipe moyo wako upate kutulia kwangu! umekubali!
 
Is this you umbuje?
Nahisi unazeeka,mbona busara zimeongezeka kwa kasi hivi?

Labda sijaelewa thread umbuje.na mwenyewe alishatahadharisha toka mapemaaaa...my bad😱
 
Back
Top Bottom