Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,841
aaaaaaah yani Wanaume wetu nyie shida sana.
Habari wapendwa, natumai wote wazima pole mwenye matatizo ni challenges za kawaida katika maisha,
Najua wengi mtadai ooh kama mwanaume mmoja kafanya hayo basi usitugenelarize.....
Wengine mtadai hao ni wavulana wakati ni tabia mlizo nazo
Af wengine mtadai we umri gani kwani, mi ni matured na sio div 6(hakuna biashara matangazo hapo)
Limchepuko(Mwanaume) la rafiki yangu kipeenzi(mwanamke) alieolewa mwezi wa pili tu na bado wanapigana kiwizi wizi,
Limchepuko lile tulikuwa wote kwenye pilika pilika za maisha pamoja na huyu muhusika wake ( mwanamke) cha ajabu limchepuko lile linanigeukia mimi akidai kwamba yule dada kaolewa sasa bora tukae tuyapange tuunge/tufanye collabo.
Ofcz huyo mchepuko sio mdogo ni mtu na akili zake timamu.
SWALI: hivi ndugu zangu wapenzi wanaume hivi huwa mnawaza nini muda mwingine? kweli unajua huyu ni rafiki wa dem niliekuwa nambandua af mmeshakuwa kwenye mishe mishe kibao na jina la shemeji likihusika sana japo sio mwenye mali af inamfata kumtongoza ikimaanisha kwamba mnapitiwa?,mnajaribu mtu? unataka kumuumiza au kulipiza kisasi au nini?
Hii nimeona hata kwa wengine wakilalamika na wanaume kutongoza marafiki hata wa wake zao...wHat iz that?
Najua tabia hii ya kupenda mashemeji hata wadada tunayo saanaaaa...Mashostito hebu tuambiane we unachofata kwa bwana/mume/baby wa mwenzio ambako kwa libaby lako umekosa?hujaona kwa wengine au tatizo nini?
Kama ni baby,wanawake tunawapenda sana tena tunawapenda kwa moyo woote,tunajitahidi kufanya yale mbeibe mnayoyapenda lakini always wanaume mnatuangusha sana,tunalia sana nanyi jamani na ndo mana tunaamua kwenda kigumu tu,sasa mwanaume kama huyo hapo juu huyo hata kwenye ndoa ni hatari..
Najua mko wengi tu hata humu...
ANGALIZO: Matusi tupia pm.....kashfa na comment za Div6 sihitaji.....comments ziendane na mada plz