Coincidence or typing error?

Coincidence or typing error?

Ni ukosefu wa umakini.

Hizi barua zinakuwa prepared kwa kumtumia ya kipindi kilichopita, kama template.

Mwandaaji anafanya kubadili vile vitu specific, mengine yanabaki vile vile. So hapo ukute katumia template ya 2018 ka edit kote kasahau hapo kwenye mwaka.

Swali: Hakukuwa na reviewer? Yeye pia anaweza ku-overlook as it is an obvious error.

Correct me if am wrong, Msigwa wa Ikulu aliwahi kukosea mara kadhaa kwenye barua zake, ikiwemo ya kumpongeza Rais wa Zimbabwe.
Kwa hiyo ni copy and paste?
 
Acheni kucomplain vitu vya kijinga, jambo dogo mwataka kulikuza

Sent using Jamii Forums mobile app
hako kanamba tisa badala ya nane kanaweza katurn dunia upside down wewe unaona ndogo unafanya dharau na namba mkuu hebu kuwa serius watu wanauwana kisa desimal points we unaona hicho ni kitu kidogo hebu turudi katika hii mada tumpuuzeni huyu mtu lazima tujadili ni kwann polepole aandike barua ya pole kabla mtu hajafa mkuu mshana endeleza mjadala

sajumo asante ila kumbuka wapuuzi huwa hawajibiwi... Hivyo next time makinika nao.... Huku tunachukulia poa tu lakini hatuelewi madhara yake hasa kwenye nyaraka rasmi

Jr
 
Back
Top Bottom