Iliandaliwa mwaka jana baada ya Bashite kuingia mjengoni na kuacha madhara. Alidhani haitachukua wiki ila imechukua mwaka. Barua iliandaliwa mapema na imetumwa kama ilivyoandaliwa.Coincidence or deliberately done?
Jr![]()
Coincidence or deliberately done?
Jr![]()
aisee!Iliandaliwa mwaka jana baada ya Bashite kuingia mjengoni na kuacha madhara. Alidhani haitachukua wiki ila imechukua mwaka. Barua iliandaliwa mapema na imetumwa kama ilivyoandaliwa.
Kuna watu naona hawajui madhara ya typing error hasa kwenye official statement za kiserikali.... Jamaa mmoja alinusurika kifo cha kunyongwa hadi kufa kwa kosa dogo sana la alama mkato la hakimu....Hata ungekuwa mhalifu mjanja kiasi gani ila utaacha ushahidi wa unalifu kama wachunguzi wakiwa makinni.

Kuedit mbona simpo tu. Nipo kwenye gari, nipe ruhusa yako hapo kwenye polepole niweke jina lako.
Nimejaribu kukumbuka pia nadhani barua ya kumpa pole Lissu ilikuwa backdated.
Sina uhakika exactly, ila ziko barua kadhaa wanakosea tarehe.
.Kuedit mbona simpo tu. Nipo kwenye gari, nipe ruhusa yako hapo kwenye polepole niweke jina lako.

Mbongo muwekee picha maneno ataweka mwenyeweIliandaliwa mwaka jana baada ya Bashite kuingia mjengoni na kuacha madhara. Alidhani haitachukua wiki ila imechukua mwaka. Barua iliandaliwa mapema na imetumwa kama ilivyoandaliwa.
Kuna watu naona hawajui madhara ya typing error hasa kwenye official statement za kiserikali.... Jamaa mmoja alinusurika kifo cha kunyongwa hadi kufa kwa kosa dogo sana la alama mkato la hakimu....
Hati ya jukumu ilisomeka hivi HANG HIM NOT, LET HIM GO.... wakati kiuhalisia ilipaswa kusomeka hivi... HANG HIM, NOT LET HIM GO...!!!
A very minor typing error can cause fatal outcome mistake
Jr![]()
Barua ipo tu kwenye computer wanaedit tu na ndo wanakosa umakini,ni aibu Kwa taasisi kama ccm