Coet(wahandisi) mlio disco Mungu anajua mwisho wenu tangu mwanzo msihofu yaliotokea!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
NDUGU WAPENDWA
PENGINE NA WEWE NI MHANGA WA YAALIOTOKEA PALE COLLEGE YA COET..KWANZA NAOMBA NIWAPE POLE SANA SANA
NIMESOMA KWA UCHUNGU NIKITOA MACHOZI SANA KWA HUZZUNI SI KWASABABU MMEDISCO NI JINSI GAN YALE MAISHA YA KUONDOANA BADO YANAENDELEA..PENGNE NISINGEPENDA SANA KUSEMEA WALIMU ILA NAPEDA KUWAPA MOYO MUNGU ANAJUA MWISHO WENU TANGU MWANZO..BINAFSI NILIKUWA MHANGA WA HILI TATIZO PALE UDSM 2000 NI NGUMU KUPOKEA NA KUIKUBALI LAKINI KWA KUWA NILIJUA MTETEZI WANGU YU HAI SIKUWA NA HOFU NA KIZURI ZAIDI NILIJUA MUNGU NDIE ANAEJUA MWISHO WA NGU ...NILIJARIBU KUPIGANA NA SENETI NA MWISHO WENZANGU WAMESHAANZA MWAKA WA TATU NIKARUDISHWA WAKATI HUO NIMESHAPOTEZA MARAFIKI ZAIDI YA 39 KWA CIVIL ENGINEERING TU M NIKIWA WA AROBAINI....

NILISOMA KWA SHIDA SANA NIKIWAZA MARAFIKI LAKINI NILIPOMALIZA HAKIKA SIKUWA NA HAMU TENA YA CIV ENGINEERING NIKAAKAA MIEZI SITA NIKAPATA SEHEMU YA KAZI..NILITUMIKA LAKINI AIKUWA CIVIL KABISA KABLA YA KUSOMA NYAKATI NIKAAMUA KUSOMEA BBA GENERAL
OPEN UNIVERSITY...NILIPOMALIZA NILIMWONA MUNGU NIKAENDELEA KUSIMAMAKWENYE AHADI ZAKE IKIWEMO KUKIMBIA UOVU WA KILA AINA NA KUMWOMBA YEYE NDIEANAEJUA WAPI NITAKUWA...ILINICHUKUA MIEZI MITATU KUINGIA BANK MOJA NIKAAKA KWA MUDA NIKAMIA NYINGINE HUKO KILICHONIFURAHISHA NILIKUTANA NA WAHANGA 7 WA DISCO 2002 TUKAPEANA MOYO KWA NIA NJEMA AKUNA KUACHA KUSOMA TUSONGE MBELE..LEO NAONGEA NA MASTERS YANGU YA SHIDA LAKINI BADO KWA KUWA NAJITAFUTIA RIZIKI NIPATE KA PHD NA MAMA DIDY NAE AENDE CHOONI NA WADOGO ZENU HASWA

BINAFSI SI HAPO NILIAMA NIKAAMIA SEHEMU NYINGINE KABISA NIKIWA PALE NIKASOMEA AIRLINE MANAGEMENT NIKAPATA ADVNC DIPLOMA
LEO NAWEZA KUSEMA AKIKA MUNGU AMENIBAMBA NA MAISHA NINAYOISHI NI FURAHA TUPU UKIJUMUISHA NA SHEMEJI YENU MAMA DIIDY NAONA PARADISO INAANZIA TANZANIA ...

SO NAOMBAMSIWAZE MSIKATE TAMAA MUNGU NDIE ANAJUA WAPI MNAPOKWENDA NAJUA WENGINE WAZAZI WALIUZA NGOMBE SIOWEWE TU KWA WANAOSOMA DIDY POST MAMA YANGU ALIZA PETE YA NDOA MI NIMALIZE FORM SIX...WAKATI HUO MZEE WANGU ANATANUA NA CITRON NA xxxx SAMAHANI SIRUHUSIWE KUENDELEA ..SOMA KWA JUHUDI ANGALIA UBADIKISHE MUELEKEO MUNGU WA ISRAELE AKAKUTOE KIMAISHA
 
Prof mayo na mr ishengoma wapo bado hawa walikuwa ni sumu ya dunia bilia inatuambia chumvi ya dunia hawa ni sumu ya coet enzi hizo..nilijua awana uzao maisha waliokuwa wakiishi..sipendi kuwakubuka ila naamini mungu alie hai alishawasamehe kabla..mayo alitesa watu kiasi cha watu kmfich mwanae pale hall 4 gorofa ya juu kabisa zaidi ya wiki akiomba watu mwisho akaweka kwenye acc ya wajanja fedha nyingi sana mtoto akashushwa na aliempelekea pale college alikuwa msafisha ofisi

huyu ishengoma alifukuza watoto wa dadake wawili huyu alikuwa anasomba ekarusi na mayo 59-60 kwao ilikuwa si shida
ila usikumbuke y a aanyuma angalien mbele mungu anaweza atawasaidia na mjitahdi kuikimbia uovu siozinaa tu uovu kwa jumla shika neno la mungu atokuacha
 
duh.Mkuu unanikumbusha FOE.Siku hizi COET mambo wameyalainisha sana.Pole sana mkuu.
 
we uliogopa WR 211

taifa lazima liende mbali na kuthamini mainjia wake , bila la hivyo taifa halitaendelea kamwe...............ndugu zetu mainjinia tupo pamoja nanyinyi
 
Aisee nakumbuka nilishikwaga wr 211 na sd 221 yaan ilikuwa balaa. civ respect ndugu. anyway life kivyovyote ndugu.
 
Prof mayo na mr ishengoma wapo bado hawa walikuwa ni sumu ya dunia bilia inatuambia chumvi ya dunia hawa ni sumu ya coet enzi hizo..nilijua awana uzao maisha waliokuwa wakiishi..sipendi kuwakubuka ila naamini mungu alie hai alishawasamehe kabla..mayo alitesa watu kiasi cha watu kmfich mwanae pale hall 4 gorofa ya juu kabisa zaidi ya wiki akiomba watu mwisho akaweka kwenye acc ya wajanja fedha nyingi sana mtoto akashushwa na aliempelekea pale college alikuwa msafisha ofisi

huyu ishengoma alifukuza watoto wa dadake wawili huyu alikuwa anasomba ekarusi na mayo 59-60 kwao ilikuwa si shida
ila usikumbuke y a aanyuma angalien mbele mungu anaweza atawasaidia na mjitahdi kuikimbia uovu siozinaa tu uovu kwa jumla shika neno la mungu atokuacha

Pdidy umenikumbusha Bogi (R.I.P) na course yake ya CE240, kama ingekuwa leo tungemwita FISADI kwani kozi yake aliita duka na usipomwona unakamatwa!
Mapambano ya ufisadi yametokea mbali, Vijana wa 1994 walipambana naye hadi akasimamishwa kazi, katika kesi yake kidogo aondoke na vijana watoa rushwa 39 wakaponea huruma ya Senate. Miongoni mwao; kama 5 hivi, siku hizi ni makamanda wa Takukuru wa Mikoa!
 
..Dah mmenikumbusha mbaaali saaana. kitu cha Fuculty of Engineering (FOE).
kipindi hicho Vice Chancellor, The Genius, Prof. Luhanga
 
Ila Vijana wa COET hawajitumi kabisa now days, Tatizo la Serikali Kuokoteza Viwango Duni ( VIDU) linaiua COET kabisa. Watoto wakifeli wanaenda kusema kwa Mkuu wa Chuo. Nakumbuka Kipindi niko hapo Watoto wa mwaka wa Kwanza walifeli Nadhani lilikuwa somo la Chambega au Ishengoma si wakaenda kusema kwa Mwamila ( Kipindi hicho alikuwa Principle). Ikabdi Mwamila amwombe Ishengoma atunge Mitihani Mwingine ambao ni Rahisi. Ilifikia Kipindi fulani mpaka kukawa na Tuition ya Maths kwa VIDU ili wapite LoL!

Nawapa Pole ila Wahandisi someni bana acheni Ubishoo nyanga za hapo nazipata sana ukicheza Baba Ishe, Chambega, mayo, Nyahumwa , Haule wanakula Kichwa
 
Cha kusikitisha wakimaliza FOE/COET karibu wote wanaenda MBA hivyo fani ya uinjinia kukosa wataalamu. Kuna haja ya serikali kuwathamini mainjinia wazawa.
 
cha kusikitisha wakimaliza foe/coet karibu wote wanaenda mba hivyo fani ya uinjinia kukosa wataalamu. Kuna haja ya serikali kuwathamini mainjinia wazawa.

leonardo hukondiko nilikotaka kuja anyway yaani we acha nafikiri lazima wajulize kwanini wanaenda some mba ?
 
mr ishengoma nasikia yuko norway anasoma phd na hajaimaliza hadi leo.

na atasoma mpaka yesu anarudi afadhali mwenzake mayo amejiwekea vitega uchumi pale buguRUNI kushoto zile duka za vifaa vya ujenzi zinafwatana na mengine mengi tu ingawa wahuni bado wanamtongozea mkewe natumaini ataendeelea kuweka ulinzi kwa kuja kwa kushtukiza kama anavyoendelea kufanya bigup mayo komaa vijana wasile mzigo
 
Pdidy umenikumbusha Bogi (R.I.P) na course yake ya CE240, kama ingekuwa leo tungemwita FISADI kwani kozi yake aliita duka na usipomwona unakamatwa!
Mapambano ya ufisadi yametokea mbali, Vijana wa 1994 walipambana naye hadi akasimamishwa kazi, katika kesi yake kidogo aondoke na vijana watoa rushwa 39 wakaponea huruma ya Senate. Miongoni mwao; kama 5 hivi, siku hizi ni makamanda wa Takukuru wa Mikoa!
Aiseee yalianza longtym
 
Back
Top Bottom