Kweli wewe nanga kwa ma2ccc 2 shytwan akublessndooo www uliyesoma baf mzumbe ukakoswa ajira *****
Code ya airtel money imegoma leo siku ya tatu. Naombeni ushauri
sawa mkuu utupe mrejesho wa watakayosema. mimi nina code ya M-PESAnipo ITV naelekea Nacte
Mm mwenyewe nimeshidwa kushangaa jamani??? NACTE siwanataka ulipe kwa M-PESA tu sasa Airtel Money inahusika vp?? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Sasa wew umeambiwa ulipe kwa njia ya mpesa...sasa iyo airtel money imetokea wap?
usome maelekezo yao vizuri, wamesema unaweza kutumia M-PESA au Airtel money.Mm mwenyewe nimeshidwa kushangaa jamani??? NACTE siwanataka ulipe kwa M-PESA tu sasa Airtel Money inahusika vp?? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]