Wadau mjihadhari na number yeyote inayoanzia na +882. Ni namba ya matapeli wa kimataifa. Jana jioni imeni beep number hiyo na nikajua labda ni ndugu yangu aliyepo nje ana nitafuta. Niliamua kumpigia lakini wakati napiga simu yangu ilikua na sh 5500. Ilipokelewb baliSikumsikia mtu. Nilikata and to my suprise salio nilikuta ni zero. Nimeingia mitandaoni kutafuta nani anatumia code hizi page moja inasema inatumiwa sana na matapeli wa kimataifa. Ukipiga wewe ndio unakatwa tena bill kubwa sana. Mapato haya wanagawana telephone companies na makampuni haya ya kitapeli. Ushauri: usimpigie anaeku beep kwa namba hii.Ingia www.whocallsme.com utaona watu wengi wa ulaya walivyo elezea kuhusu hii number
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.