Habar za mida hi na polen na majukumu
Kama kichwa cha uzi kinavojielezea nilikua naomba kujuzwa hi ni code no ya nchi gan +234
ila kwa ushauri tuu, siku nyingine kwa muda ulioutumia kuandika hii post huku na kusubiria majibu ungeingia google ungekuwa umefanikiwa kwa haraka zaidi.
Kenya ni +254Kenya
Habar za mida hi na polen na majukumu
Kama kichwa cha uzi kinavojielezea nilikua naomba kujuzwa hi ni code no ya nchi gan +234
Nigeria hiyo.... jihadhari kama ni simu usiyoijua coz utaliwaHabar za mida hi na polen na majukumu
Kama kichwa cha uzi kinavojielezea nilikua naomba kujuzwa hi ni code no ya nchi gan +234
kwaswali hili ushaponea kutapeliwa. Nigerians waache kabisaaaa, popote pale duniani wanajulikana. Wanaiba chochote wakionachoHabar za mida hi na polen na majukumu