Cocochanel interview prep!

Nimewaza tu cuzoo I'd yake nyingine kajuaje kama mwifwa kala ban

Doh haaaaaaaaa cuzoo hadi wewe

Kwani leo si siku ya kazi lakini

Alaaa kumbe

Uuuwiiii
halafu sijamuona tangu jana
Mmh. Vichwa ngumu nyie. Lol.

Mi niliacha wenye maswali yao wapate kuuliza ila nashangaa kimya.

Mwenzenu nakanda unga wa maandazi ndio mana nawapa likes tu si unajua maandazi ndio yananiweka mjini.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…