Coco Beach ya Mogadishu

Coco Beach ya Mogadishu

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Taratibu maisha yanaanza kurudi jijini Mogadishu.

610ccx.jpgHapo ni ufukweni huko Mogadishu (kitongoji cha Hamarweyne) na wasomali wakijiachia kwenye sherehe za Eid al-Adha juzi kati.
 
****** ya wasomali mabaya...dah
 
watu wengine, wanataka kutuharibia mood ya kazi asubuhi asubuhi yote hii
 
Ufisadi unapolazimishwa katika nchi ya watu, halafu "oooh Al Shabab!".
 
Amani ni kitu kizuri ndg zangu. Yaliyowapata hawa jamaa ni kukosekana kwa amani tu ....
 
Da' Faiza Foxy hii picha ya ufukweni ni enzi za Siad Barre wakati Mogadishu lilikuwa jiji moja kubwa barani Afrika.
Magaalda-Muqdisho.jpg
Miaka zaidi ishirini ya vita vya wenyewe kwa wenyewe hapo ufukweni sasa pamekuwa hivi:
610xyu.jpg
Na hivi:
610xyz.jpg
 
hivi hawa wasomali hawana hata kisima kimoja cha mafuta ili wapate msaada toka magharibi,
 
Back
Top Bottom