Coco baby - Diamond azidi kung'ara Nigeria

Coco baby - Diamond azidi kung'ara Nigeria

Diamond is too big to be killed by clouds fm. Clouds fm ombeni msamaha kwa diamond kwa kitendo cha kutaka kumbomoa siku ile ya fiesta lakini mkashindwa vibaya. Huyo Ali kiba wenu yes ni msanii mzuri lakini he is not outward looking, he is too indegenous

Hivi haya maneno mnayaongeaga mkiwa mmetoka kunywa mbege? Wivu za mashabiki ndo mnataka muwabebeshe mawingu? Au walifanya makosa kuwapandisha wote stage moja siku hiyo?

Kwa taarifa yako watu kibao tulikuwapo leaders na tulijionea tukio wenyewe... matatizo ya wivu za mashabiki msitake kuyaleta kwenye media.

Hata juzi tulikua naye escape one kwenye after school bash inayoandaliwa na wao haoho...

Tatizo watu mnaishi mtwara alafu kijifanya mnajua umbea wa mjini hamjambo... punguzeni kusoma udaku wa jf na magazeti ya shigongo... jifunzeni kufika hata sehemu za matukio ili muwe mnajionea ukweli wenyewe na sio kulishwa madesa na matangopori.
 
Huyo kijana mimi sio shabiki kabisaa was nyimbo zake lakini navutiwa na jinsi anavyojibidiisha kusaka maisha, tumwache ayasake ye ni binadamu sio lazima tumkubali lakini tunaweza kujifunza mambo mengi kupitia kwake hasa vijana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom