Muongo huyo, πππHuyu ndugu yangu natamani hata nimuwekee nyimbo inayosema "Babu jinga inama ufikiri..." ila ni vile tu shemeji yangu hufagilii hao dompinyo ππ
Ndugu yangu kwako katua nanga shemeji, eFootball anazugia tu π
Selikavu
Niamini mimi huyo hachomoki, anaharibiwa na wale vijana wa kusema "Ukionyesha unampenda sana atakupanda kichwani" ππMuongo huyo, πππ
Yeye anapenda eFootball tuuh. Woiiih
Mejii acha kunijaza, nduguyo hanipendii bhanaNiamini mimi huyo hachomoki, anaharibiwa na wale vijana wa kusema "Ukionyesha unampenda sana atakupanda kichwani" ππ
Wakiumizana?Uzi kaandikiwa udugu wangu cha ajabu wanagombana wengine..!! πΉπΉ
Nyie mnaogombana nimekuja na mchanga mpute zichapwe hapa..!!
Ndio wataheshimiana sasa πΉWakiumizana?
πππ umekuja Referee, unataka kupuliza kipyenga, ili mbungi ianze?Uzi kaandikiwa udugu wangu cha ajabu wanagombana wengine..!! πΉπΉ
Nyie mnaogombana nimekuja na mchanga mpute zichapwe hapa..!!
Hongera myπππ umekuja Referee, unataka kupuliza kipyenga, ili mbungi ianze?
Oooh
πππ aah wapii. Ni heka heka tuu.Hongera my
Shem Darling tunatamba nae.
Yani shemeji tunaye Ila aombe ruhusa kwa boss wa voucher asije kupigwaβ¦.!! πΉHongera my
Shem Darling tunatamba nae.
ποΈποΈποΈ Usafiriπππ aah wapii. Ni heka heka tuu.
Wee hutoi muongozo?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Umejuaje, ndo mie yaya wake, [emoji23][emoji23][emoji23]Coca itakuwa yuko busy na mtoto wa zuchu
Naomba ajira bossWale wale
Shemeji ndugu yangu kwako kafika niamini mimi ni vile tu anajizima data halafu anakhofia wasijeunda kamati kukuangamiza, unajua vile wanakutolea udenda humu shemeji ππMejii acha kunijaza, nduguyo hanipendii bhana
πππ