Cocastic nakuaminia!

Cocastic nakuaminia!

Huyo ni Engineer kutoka CoET at UDSM ni moja kati ya pisi kali sana kutokea Songea mjini, she is very beautful and humble.

Mitaa yake ya kujidai (makazi) ni msamala songea mjini by the time yupo hapa mjini kuendeleza maisha. USIJICHANGANYE HUYO NI JIRANI YANGU.

Mimi nipo hapa Seedfarm Songea.

Karibuni sana Songea mjini.
Mimi hayo siyaangalii sana ila najua cocastic
Ni bonge la mwanamke na nitamtoa out siku Moja usiku mmoja tuinjoi
 
Back
Top Bottom