Cocastic nakuaminia!

Cocastic nakuaminia!

Japo nimepata tetesi ila naamin ww ni dada mzur sio kama wanavyosema kina nani.......?
Huyo ni Engineer kutoka CoET at UDSM ni moja kati ya pisi kali sana kutokea Songea mjini, she is very beautful and humble.

Mitaa yake ya kujidai (makazi) ni msamala songea mjini by the time yupo hapa mjini kuendeleza maisha. USIJICHANGANYE HUYO NI JIRANI YANGU.

Mimi nipo hapa Seedfarm Songea.

Karibuni sana Songea mjini.
 
Back
Top Bottom