white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,896
juzi nilikuwa nakwenda morogoro,nimepanda basi la ABOOD,tumefika maeneo ya ruvu darajani,tairi moja la nyuma likapata pancha,tukatelemka ili wabadilishe tairi,wakaanza kazi ya kufungua tairi hilo,kaka nut zikawa ngumu sana kufunguka,huwa wanatumia bomba fulani[mtalimbo] wanaingiza spana kisha wanabembea,zile nut zilikuwa zimekazwa ile mbaya!hadi mabaunsa 3 wananing'inia hazifunguki jasho limewatoka.MUNGU sio mzee mkumba kama asemavyo Mbwiga,likatokea lori kubwa la mafuta likasimama,kwa mbele,akaja tingo akawaambia nenda ukanunue soda aina ya coca cola /Pepsi ulete hapa,kweli tingo wa bac akafanya hivyo,jamaa akaifungua ile soda aina ya coca cola na kuzimwagia zile nuts zote,kisha akawambia haya fungueni Ebwana zimekuwa laini kama unanawa vile!watu wote tuliona kama maajabu!!!!!!!Sasa kwa wataalam wa chemistry hii inakuwaje?au ndio maana wa2 wenye ulcers wanakatazwa kunya soda aina hizi??MIMI COCA/PEPSI BASI TENA KAMA KUTU INA LAINIKA VILE SEMBUSE TUMBO!!!!:yield:
kaka kabla hujabisha ki2 fanyia uchunguzi japo mdogo,Tafuta tingo yeyote mwenye uzoefu na kazi yake muulize,utapata jibu.Mi mwenyewe nimeshawauliza kama 3 wanasema mbona ni ki2 cha kawaida!!!!!!!!!!!!!!Muongo
kumbuka tumboni au mwilini siyo sawa na hivyo vyuma au nuts
Hii ndio pointi ya msingi. Unadhani ingekuwa na madhara ya kufa mtu WHO na TBS wangewapa Coca ama Pepsi certificate ya usalama kwa matumizi ya binadamu? Think twice.
Sasa mnabisha nini?
Pia hata kama demu anabana wewe mnunulie coca na chips kuku,yani anaachia kiulaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiini!!!!
pia kama gari lako limejaza carbon kwenye terminals za betri, unaweza kuondoa vizuri wka kutumia cocacola
kama sink lako la chooni au vyombo likeweka weusi, mwagia cocacola, leave it for few minutes na sugua kwa sabuni.....kitu kinakuwa kama kipya!
kumbuka tumboni au mwilini siyo sawa na hivyo vyuma au nuts
Kwa kuongezea tu, kama mama watoto ameishiwa na sabuni ya kusafisha choo basi tumia coca cola au pepsi. Inasafisha vizuri kabisa hasa diet coke!
Ha ha ha ha haSasa mnabisha nini?
Pia hata kama demu anabana wewe mnunulie coca na chips kuku,yani anaachia kiulaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiini!!!!
Sasa mnabisha nini?
Pia hata kama demu anabana wewe mnunulie coca na chips kuku,yani anaachia kiulaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiini!!!!
Hahahahahahahaha loh!Sasa mnabisha nini?
Pia hata kama demu anabana wewe mnunulie coca na chips kuku,yani anaachia kiulaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiini!!!!