COCA COLA/PEPSI basi tena kumbe ina matumizi mengine!

Safi sana kwa hiyo Coka ni bora katika kusafisha mwili kuliko zile detox za Askofu Gamanywa

Detox za Askofu Gamanywa zinakujaje tena huku kwenye mada hii ndugu yangu, fikiri kabla ya kuandika maneno ya kashfa wakati mwingine yatakugharimu pamoja na kwamba una haki ya kuropoka.
 
Hata azam cola seriously nimeona,kwenye daladala.
 
coca ina asili ya kutoa kutu.

Chukua chupa ya coca iliyobakia soda kidogo ndani yake kisha weka kipande cha mfupa baada ya siku mbili au tatu angalia matokeo yake! Caca imethibisihwa kuwa ni njia moja wapo ya kufanya mifupa isagike.

James Duke PhD
The Green Pharmacy : The Ultimate Compendium Of Natural Remedies From The World's Foremost Authority On Healing Herbs

"And watch out for cola soft drinks, which are very high in bone-dissolving
phosphorus."
 
juzi nilikuwa nakwenda morogoro,nimepanda basi la ABOOD,tumefika maeneo ya ruvu darajani,tairi moja la nyuma likapata pancha,tukatelemka ili wabadilishe tairi,wakaanza kazi ya kufungua tairi hilo,kaka nut zikawa ngumu sana kufunguka,huwa wanatumia bomba fulani[mtalimbo] wanaingiza spana kisha wanabembea,zile nut zilikuwa zimekazwa ile mbaya!hadi mabaunsa 3 wananing'inia hazifunguki jasho limewatoka.MUNGU sio mzee mkumba kama asemavyo Mbwiga,likatokea lori kubwa la mafuta likasimama,kwa mbele,akaja tingo akawaambia nenda ukanunue soda aina ya coca cola /Pepsi ulete hapa,kweli tingo wa bac akafanya hivyo,jamaa akaifungua ile soda aina ya coca cola na kuzimwagia zile nuts zote,kisha akawambia haya fungueni Ebwana zimekuwa laini kama unanawa vile!watu wote tuliona kama maajabu!!!!!!!Sasa kwa wataalam wa chemistry hii inakuwaje?au ndio maana wa2 wenye ulcers wanakatazwa kunya soda aina hizi??MIMI COCA/PEPSI BASI TENA KAMA KUTU INA LAINIKA VILE SEMBUSE TUMBO!!!!:yield:

mkuu asante kwa kunielimisha,nimezikoma hizo soda.
 
Wewe bado unakunywa soda,pole.Ni sumu,usinywe.Si umeona mwenyewe?KAMA INAFUNGUA NATI NA WEWE JE,KALAGAMAHO.Freemasons hao wameamua kutumaliza!
juzi nilikuwa nakwenda morogoro,nimepanda basi la ABOOD,tumefika maeneo ya ruvu darajani,tairi moja la nyuma likapata pancha,tukatelemka ili wabadilishe tairi,wakaanza kazi ya kufungua tairi hilo,kaka nut zikawa ngumu sana kufunguka,huwa wanatumia bomba fulani[mtalimbo] wanaingiza spana kisha wanabembea,zile nut zilikuwa zimekazwa ile mbaya!hadi mabaunsa 3 wananing'inia hazifunguki jasho limewatoka.MUNGU sio mzee mkumba kama asemavyo Mbwiga,likatokea lori kubwa la mafuta likasimama,kwa mbele,akaja tingo akawaambia nenda ukanunue soda aina ya coca cola /Pepsi ulete hapa,kweli tingo wa bac akafanya hivyo,jamaa akaifungua ile soda aina ya coca cola na kuzimwagia zile nuts zote,kisha akawambia haya fungueni Ebwana zimekuwa laini kama unanawa vile!watu wote tuliona kama maajabu!!!!!!!Sasa kwa wataalam wa chemistry hii inakuwaje?au ndio maana wa2 wenye ulcers wanakatazwa kunya soda aina hizi??MIMI COCA/PEPSI BASI TENA KAMA KUTU INA LAINIKA VILE SEMBUSE TUMBO!!!!:yield:
 
Hizo habari nilizisikia siku nyingi na nikaprove! usiombe uone! ila ndo hivyo tushazoea...ukiwa mchovu we gonga coca tu,burudaaani!
 
nakubaliana na wewe, niliwahi pia kusikia, mwagia kwenye sink aidha jikon au bafuni acha kwa muda, inaondoa uchafu kabisa.
juzi nilikuwa nakwenda morogoro,nimepanda basi la ABOOD,tumefika maeneo ya ruvu darajani,tairi moja la nyuma likapata pancha,tukatelemka ili wabadilishe tairi,wakaanza kazi ya kufungua tairi hilo,kaka nut zikawa ngumu sana kufunguka,huwa wanatumia bomba fulani[mtalimbo] wanaingiza spana kisha wanabembea,zile nut zilikuwa zimekazwa ile mbaya!hadi mabaunsa 3 wananing'inia hazifunguki jasho limewatoka.MUNGU sio mzee mkumba kama asemavyo Mbwiga,likatokea lori kubwa la mafuta likasimama,kwa mbele,akaja tingo akawaambia nenda ukanunue soda aina ya coca cola /Pepsi ulete hapa,kweli tingo wa bac akafanya hivyo,jamaa akaifungua ile soda aina ya coca cola na kuzimwagia zile nuts zote,kisha akawambia haya fungueni Ebwana zimekuwa laini kama unanawa vile!watu wote tuliona kama maajabu!!!!!!!Sasa kwa wataalam wa chemistry hii inakuwaje?au ndio maana wa2 wenye ulcers wanakatazwa kunya soda aina hizi??MIMI COCA/PEPSI BASI TENA KAMA KUTU INA LAINIKA VILE SEMBUSE TUMBO!!!!:yield:
 
juzi nilikuwa nakwenda morogoro,nimepanda basi la ABOOD,tumefika maeneo ya ruvu darajani,tairi moja la nyuma likapata pancha,tukatelemka ili wabadilishe tairi,wakaanza kazi ya kufungua tairi hilo,kaka nut zikawa ngumu sana kufunguka,huwa wanatumia bomba fulani[mtalimbo] wanaingiza spana kisha wanabembea,zile nut zilikuwa zimekazwa ile mbaya!hadi mabaunsa 3 wananing'inia hazifunguki jasho limewatoka.MUNGU sio mzee mkumba kama asemavyo Mbwiga,likatokea lori kubwa la mafuta likasimama,kwa mbele,akaja tingo akawaambia nenda ukanunue soda aina ya coca cola /Pepsi ulete hapa,kweli tingo wa bac akafanya hivyo,jamaa akaifungua ile soda aina ya coca cola na kuzimwagia zile nuts zote,kisha akawambia haya fungueni Ebwana zimekuwa laini kama unanawa vile!watu wote tuliona kama maajabu!!!!!!!Sasa kwa wataalam wa chemistry hii inakuwaje?au ndio maana wa2 wenye ulcers wanakatazwa kunya soda aina hizi??MIMI COCA/PEPSI BASI TENA KAMA KUTU INA LAINIKA VILE SEMBUSE TUMBO!!!!:yield:

Mkuu kuna ndugu yangu mmoja aliwahi kuniambia kuna mzee mmoja alimwambia kuwa yeye hanywi soda hizi na akamuhakikishia akinunua coca cola na kutumbukiza msumari kesho yake hataukuta ule msumari,mimi niligoma kuamini nikamwambia akafanye jaribio hilo kama itakuwa hivyo anijulishe nami nifanye ndio naweza kuamini..Itabidi nimuulize kama alifanya hili jaribio maana hakunipa feedback
 
Waulize watoa mimba changa watakupa mkanda mzima wa pepsi na coca, zikichemshwa kidogo na kuwa vuguvugu haa binti akinywa mimba kwaheri. chezea coca na peps weye!
 
Kuna kipindi Discovery Channel kinaitwa Myth Busters, walizifanyia majaribio hizi myth za Coca Cola kwa kifupi Coca Cola hailainishi nati zaidi ya maji so mgemwagia maji yangekuwa yale yale hii ni kwa sababu maji ni lubricant nzuri (e.g Unatereza ukitoka kuoga) so hakuna kitu special katika Coca Cola.

Pia haina effect katika terminal za battery zaidi ya maji.

Pia haiyeyushi meno.

Inasaidia kidogo kwenye kusafisha damu iliyomwagika.

Hizi zote walitest kwenye kipindi.
 
juzi nilikuwa nakwenda morogoro,nimepanda basi la ABOOD,tumefika maeneo ya ruvu darajani,tairi moja la nyuma likapata pancha,tukatelemka ili wabadilishe tairi,wakaanza kazi ya kufungua tairi hilo,kaka nut zikawa ngumu sana kufunguka,huwa wanatumia bomba fulani[mtalimbo] wanaingiza spana kisha wanabembea,zile nut zilikuwa zimekazwa ile mbaya!hadi mabaunsa 3 wananing'inia hazifunguki jasho limewatoka.MUNGU sio mzee mkumba kama asemavyo Mbwiga,likatokea lori kubwa la mafuta likasimama,kwa mbele,akaja tingo akawaambia nenda ukanunue soda aina ya coca cola /Pepsi ulete hapa,kweli tingo wa bac akafanya hivyo,jamaa akaifungua ile soda aina ya coca cola na kuzimwagia zile nuts zote,kisha akawambia haya fungueni Ebwana zimekuwa laini kama unanawa vile!watu wote tuliona kama maajabu!!!!!!!Sasa kwa wataalam wa chemistry hii inakuwaje?au ndio maana wa2 wenye ulcers wanakatazwa kunya soda aina hizi??MIMI COCA/PEPSI BASI TENA KAMA KUTU INA LAINIKA VILE SEMBUSE TUMBO!!!!:yield:
Iogopeni kama"UKOMA"Inapunguza nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa sana!
 
Jibu hili ni la kitoto na jibu rahisi kwa maswali magumu.The simple fact kwamba vinywaji hiyvo vina uwezo wa kutoa kutu ina prove kwamba they are too acidic and therefore not friendly to the human stomach and health.Kwa bahati mbaya hatujui acid hiyo ni acid gani,kwa vile utengenezaji wa vinywaji hivyo ni siri kubwa.I can only gas however kwamba ni carbonic ,phosphoric na citric acids ambazo zina ongeza acidity tumboni.Carbonic acid ina uwezo wa kupunguza uwezo wa damu kusafirisha oxygen..Lakini ni vema kukumbuka kwamba vinywani hivi pia vina additives ambazo zinapunguza uwezo wa mwili kutumia kirutubisho cha aina ya Copper na hivyo kusababisha magonjwa ya aina nyingi.Lakini kwa nini ule kitu ambacho hujui kimetengenezwaje?MWISHO,FORGET ABOUT WHO NA TBS HAO NI WASHIRIKA WAO!MBONA POMBE NA SIGARA NI RUKSA.VYANDARUA VYA BUSH JE.HAO HAWAWEZI KUKUAMBIA UKWELI, INABIDI UUTAFUTE MWENYEWE.
Hii ndio pointi ya msingi. Unadhani ingekuwa na madhara ya kufa mtu WHO na TBS wangewapa Coca ama Pepsi certificate ya usalama kwa matumizi ya binadamu? Think twice.

Back
Top Bottom