Coca-Cola inazuia ujauzito?

Esrom makono

Senior Member
Joined
May 11, 2019
Posts
121
Reaction score
76
Waungwana hivi ni kweli soda aina ya Coca-Cola inaweza kumsababishia binti asipate ujauzito pale tu atakapoitumia endapo atakuwa amekutana na mwanaume siku za heri za ujauzito?
 
Hii kitu naisikia sana kwa wanawake.

Sasa tukipata uthibitisho, itabidi ziwe zinakaa geto muda wote.
 
Ingekuwa ni kweli basi FDA wangekuwa washatoa tahadhari zamani sana.
 
COCA COLA plus PANADOL najua hii formula!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…