Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,777
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Kibonde katika uzinduzi wa kampeni za kitaifa za chama hicho uliofanyika Septemba leo 02, 2025 Manzese Jijini Dar es Salaam amvaa vikali Humphrey Polepole kisa kauli yake ya akishinda Urais atampa kazi Rais Samia Suluhu.
"Humphrey Polepole alikuwa mmoja wa wanamtandao waliokuwa wanataka wamuondoe Rais Samia madarakani, mumpuuze"
"Humphrey Polepole alikuwa mmoja wa wanamtandao waliokuwa wanataka wamuondoe Rais Samia madarakani, mumpuuze"