DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Uongozi wa Klabu ya Mpira wa Miguu - Coastal Union umefikia makubaliano ya pande zote ya kusitisha kandarasi na Kocha Mkuu Ali Mohammed Ameir.
Klabu inamshukuru Mwalimu Ali Mohammed Ameir kwa mchango wake uliotukuka kwa kipindi chote alichoiongoza timu yetu.
Uongozi wa Coastal Union utaujulisha umma juu ya muundo na uongozi mpya wa benchi la ufundi muda mchache ujao.
IMETOLEWA NA:
Omar A.S Ayoub
Katibu Mkuu
1 Oktoba 2025