mnafiki anashindana na nani?
mwehu kabisa huyu atashinda wapi na unafiki aliyonao? lazima afahamu kuwa kutaja akaunti ya mtu na pesa yake hadharani ni jinai. Ni mahakama pekee yake inaweza kufanya hivyo endapo tu mmiliki wa akaunti husika ametenda uhalifu. Kwanza aanza na akaunti zote na kiasi cha pesa alichonacho kabla hajataka za wenzie aone kama hilo ni fair. Otherwise zitto is moving with escape velocity in the negative direction.....