Uzembe wa viongozi wetu wa Simba.
Leo Balla Conte amesaini Yanga
Pendekezo la Fadlu Davids limepuuzwa na viongozi
Viongozi wao wanahitaji Kagoma
Hakika Rage alikuwa sahihi kutuita mbumbumbu
Gamondi aliwaambia Yanga sajilini yeyote mnaeona atafaa, ila mimi naomba mniletee Duke Abuya, hao wengine mtaamua nyie.Uzembe wa viongozi wetu wa Simba.
Leo Balla Conte amesaini Yanga
Pendekezo la Fadlu Davids limepuuzwa na viongozi
Viongozi wao wanahitaji Kagoma
Hakika Rage alikuwa sahihi kutuita mbumbumbu