CNN’s Anthony Bourdain dead

CNN’s Anthony Bourdain dead

Hata Tanzania haya matatizo yapo sana tu.

Au Tanzania hakuna watu wanaojiua?

Tofauti ni kwamba wenzetu hawa wako open sana zaidi yetu.

Sisi hata mtu akifa kutokana na complications za AIDS tunaficha, sembuse depression??

Kwanza depression kwa Kiswahili ni nini?

Hata Tanzania watu wanaojiua wapo. Ila sidhani kama vifo vyao huwekwa wazi kivile...
Depression -Sononi
 
If you find some spare time check them out on YouTube. If you are a foodie like me you’ll enjoy them very much.

Too bad his shows were on CNN domestic and not on CNN International.

Yeah, I thought he was featured in domestic programmes.

Sure, I will check them out.
 
Huyu jamaa mi nilimuona kwenye movie ya "The Big Short" kuna sehemu alikuwa anaelezea Collateralized debt obligation(CDO) na kwa sababu mimi napenda kula sana nikasema dah huyu jama anafaidi sana hii kazi yake tena anakubalika kimataifa. Kabla ya hapo sikuwa namfahamu.

R.I.P
 
Watu wa kila imani na wasioimani wanajiua.Kwa hiyo toa angalizo kwa watu wote usiwapunje.

Kutonielewa natakakujenga hoja ganinako niushahidi Mungumjuziwa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo tungeelewana telepathically.
Umesema Bw.Bourdain amejinyonga kwa vile ni mpagani.Na ulisema waafrica hatuna sana ugonjwa wa sonono kwa sababu ya imani yetu kwa Mungu.Angalizo kuhusu wapagani kujiuwa limejikita katika hizo hoja mbili.

Kuhusu kujenga hoja.Hakuna faina mtu kuwa na elimu fulani kisha akashindwa kuielezea kwa wengine.Profesa mzuri ni yule anayeweza kuelezea kwa mfano ata "Einsten Theory of Relativity" kwa mtoto wa shule ya msingi.

Tatizo lako wewe Kiranga unapoongea vitu vyako nahisi ata wewe mwenyewe huwa huelewagi unazungumza nini.
 
Wewe hata "mpagani" maana yake hujui.

Halafu una audacity ya kuniita mimi mgonjwa wa akili!

Sasa kama mimi mwenyewe sielewi nazungumzia nini, unatakaje nikueleweshe wewe, wakati mimi mwenyewe unasema sielewi nazungumzia nini?

Huoni kwamba unanionea kunitaka nikueleweshe wewe, mambo ambayo hata mimi mwenyewe ninayeandika siyaelewi?
 
Umesema wapi kuwa Bourdain kajinyonga kwa vile ni mpagani?
 
Wewe hata "mpagani" maana yake hujui.

Halafu una audacity ya kuniita mimi mgonjwa wa akili!

Sasa kama mimi mwenyewe sielewi nazungumzia nini, unatakaje nikueleweshe wewe, wakati mimi mwenyewe unasema sielewi nazungumzia nini?

Huoni kwamba unanionea kunitaka nikueleweshe wewe, mambo ambayo hata mimi mwenyewe ninayeandika siyaelewi?
Hahaha!

You have a lot in your head.Too much knowledge.The problem is you just dont know how to disseminate it.

I have a question for you.Is your mission to turn this world into atheism?
 
I disagree.Depression tends to results in suicide.If Africa has highest depression rates in the world how come the suicide rate in Africa is so low.?

Even if we have high depression rates but i think we have better social mechanisms of dealing with it.
Lots of other stuff kills them more. Stress is a killer. But in a place plagued with poverty driven diseases and such a low span of life expectancy, then talking about suicide rates in Africa vs America and Europe wont get you even closer to an answer.
 
Hahaha!

You have a lot in your head.Too much knowledge.The problem is you just dont know how to disseminate it.

I have a question for you.Is your mission to turn this world into atheism?

I don't know how to disseminate what? Why do you think I should disseminate?

If you are illiterate, and I know graduate school level material on a subject, and you are persistent in being illiterate, why should I be concerned that I don't know how to talk to an illiterate person instead of you being concerned that you don't know how to address matters intelligibly?

The truth does not need evangelizing,it comes out on its own in due time.

The second law of thermodynamics never fails.Given enough time.

If you have noticed, I haven't started one thread about atheism, I am always replying to people's posts and threads.

So how can you say that I am on a mission to turn this world into atheism?

Besides, JF is a drop in the ocean compared to the world, if I truly wanted to turn the world into atheism, I would spendmore time on Quora and Twitter, not on this paltry JF.
 
I am glad you have made it clear you have no desire to stop people from believing in God.Now i think our ships are sailing in the same direction.We may challenge each other philosophically about Gods existance but at the end of the day we know there is alpha and omega.
 
may be u r right,but how do we know the rates in Africa if we believe depression is something of the west?....this means people will be misdiagnosed and other wont seek help at all.....therefore we will never know actual statistics......anyway I found this old post,i don't know its credibility though.....Africa has some of the highest depression rates in the world

Kule mwanzo nilisema, it probably goes deeper than what we know, when it comes to finding out who gets hit with depression the most. The privileged or Unprivileged.

Seems like both of you're right but then, not sure if there's accurate figures for Africa.

N'ways, gotta check that old post out may be it'll shed some light on this.
 
Afrika ni vigumu sana kupata takwimu sahihi au hata zilizo karibu na usahihi.

Tayari kuna watu wanaamini [siyo kujua] kuwa Afrika depression siyo tatizo!

Nenda huko vijijini uone jinsi watu wanavyolewa pombe za kienyeji ili kupoza machungu ya maisha!

Hiyo siyo depression?
 
I am glad you have made it clear you have no desire to stop people from believing in God.Now i think our ships are sailing in the same direction.We may challenge each other philosophically about Gods existance but at the end of the day we know there is alpha and omega.
You understanding what I write is like an ant understanding the Grigori Perelman solution to Poincare's Conjecture in a single glimpse.

Or an earthworm understanding the entirety of Sir Roger Penrose's "The Road To Reality: A Complete Guide To The Laws of The Universe" in a minute.
 
Afrika ni vigumu sana kupata takwimu sahihi au hata zilizo karibu na usahihi.

Tayari kuna watu wanaamini [siyo kujua] kuwa Afrika depression siyo tatizo!

Nenda huko vijijini uone jinsi watu wanavyolewa pombe za kienyeji ili kupoza machungu ya maisha!

Hiyo siyo depression?

Yap, si rahisi kivile kwa huko.
 
Afrika ni vigumu sana kupata takwimu sahihi au hata zilizo karibu na usahihi.

Tayari kuna watu wanaamini [siyo kujua] kuwa Afrika depression siyo tatizo!

Nenda huko vijijini uone jinsi watu wanavyolewa pombe za kienyeji ili kupoza machungu ya maisha!

Hiyo siyo depression?
Ni umaskini tu kaka.Sio deperession.They cant afford other recreational activities.Wanachoweza kufanya ni pombe na ngono.
 
You understanding what I write is like an ant understanding the Grigori Perelman solution to Poincare's Conjecture in a single glimpse.

Or an earthworm understanding the entirety of Sir Roger Penrose's "The Road To Reality: A Complete Guide To The Laws of The Universe" in a minute.
There you go again using jargons to obscure all the things you want to say.Some pychologist assert that the use of jargons during communications as a defence mechanusm called intellectualization.In lay man terms you are using complex terminologies to hide your emotional aspects.
 
Back
Top Bottom