Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,385
- 138,552
- Thread starter
- #41
Lakini jamani, tuelewe kuwa there's something so deep with this disease.
Interesting thing ni kwamba, with all issues mtu wa kawaida faces, so rarely tunasikia mtu ame commit suicide kwa depression. Lakini hawa ambao tayari wana life savings and are already set for the rest of their lives ndo wanajitia kitanzi.
Hata Tanzania haya matatizo yapo sana tu.
Au Tanzania hakuna watu wanaojiua?
Tofauti ni kwamba wenzetu hawa wako open sana zaidi yetu.
Sisi hata mtu akifa kutokana na complications za AIDS tunaficha, sembuse depression??
Kwanza depression kwa Kiswahili ni nini?
Hata Tanzania watu wanaojiua wapo. Ila sidhani kama vifo vyao huwekwa wazi kivile...