Poleni wafiwa.He was the only remaining thing I liked about CNN!
Never missed Parts Uknown.
He will be sorely missed.
But still...Kate Spade was super rich.
And she wasn’t bad looking either.
She could have moved on just fine after the divorce.
But then again I heard that she had battled depression most of life. So perhaps the impending divorce exarcebated it!
Hahaha Baba Mchangaji Kiranga you never cease to amaze me .YOU are obsessed with atheism.I hope you know that obsession is one of the mental illness.When they said 1 out of 4 Tanzanians is mentally sick i am sure that includes you.Uzuri Tanzania tunamtegemea Mungu sana.
Hawa wenzetu washajua Mungu hayupo.
Mimi napinga kuwepo Mungu kila siku.
Ila naelewa uzuri wa dhana ya kuwepo Mungu katika situations kama hizi za depression. Huko Tanzania kwetu hakuna ma therapist wala mental health professionals wa kutosha.
Makanisa, misikiti, mashehe, wachungaji etc hata wanafamilia tu ndio wanaokuwa ma therapists.
Katika kupinga kwangu kote, kusema kwamba dhana ya Mungu kuwepo ni ya uongo, mara nyingi nimesema naelewa kwa nini ipo na kwa nini inaweza kuhitajika kuwepo.
Anthony Bourdain was an atheist. Kwa hiyo habari za kumfariji zote za kutoka kwa Mungu alishazitupa mbali.
Anthony Bourdain - Celebrity Atheist List
Wolf Blitzer?Poleni wafiwa.
===
Pale CNN kuna kazee kashari kweli...kana penda sana habari za vita vita, kafupi, kana ndevu nyingi za mvizi...hata kakiwa kanahoji viongozi kana wauliza maswali yanayowaprovock waongeza kasi ya vurumai 'sikapendi'. Pamoja na kale kabibi kamuiran-marekani !
Kwa kesi ya mtu kama Tony upweke si issue. Jamaa alikuwa global TV star.Upweke unachangia sana
Poleni wafiwa.
===
Pale CNN kuna kazee kashari kweli...kana penda sana habari za vita vita, kafupi, kana ndevu nyingi za mvizi...hata kakiwa kanahoji viongozi kana wauliza maswali yanayowaprovock waongeza kasi ya vurumai 'sikapendi'. Pamoja na kale kabibi kamuiran-marekani !
I know there is domestic and International (I miss International).Yup!
Outside the US they don’t get the CNN that me and you get.
But we have the luxury of also getting CNN International by getting the top tiered channel line-up.
Sasa kama atheism ni mental illness, ambayo tumeioata kwa sababu Mungu kaumba ulimwengu ambao umeruhusu tuipate, na tumejaribu kumtafuta sana, ila huu ugonjwa aliouachia utupate umetuzuia kumjua, siku ya kiyama atatuhukumu kwamba hatukumjua wakati yeye mwenyewe nsiye kaachia ugonjwa aliourihusu utupate ufanye tusimjue?Hahaha Baba Mchangaji Kiranga you never cease to amaze me .YOU are obsessed with atheism.I hope you know that obsession is one of the mental illness.When they said 1 out of 4 Tanzanians is mentally sick i am sure that includes you.
Back to the subject about the the depression rates in TZ.I am happy that you agree with me in principle that we have low depression rates.I also agree with you that one of the reasons attributed to our low depression rates is our strong religious beliefs.Through religions people tend to live togather as a community as opposed to isolated life like in rich countries.
But i think the major reason of our low depression rates is poverty.
Today i am not going to dwell in atheism because i think we have exhausted everything in this topic and i firmly made it clear that it is nonsense to debate about God.You either choose to believe in him or believe in your own ridiculous ways.Period.
Wewe nawe kuna mengine unaangalia hapo.Unamzungumzia Wolf Blitzer eeh? Huyo mwingine ni Christiane Amanpour?
Mi napendaga kumwangalia Zain Asher kule CNN International....
I know tgere is domestic ans Internatiinal (I miss International).
I just did not know his show was domestic only. I thoufht it surely must be on International too.
Ina maana ile show alivyokuja Bongo wabongo wengi walio Bongo hawajaiona CNN?
Socrates said "The unexamined life is not worth living". But then again, the over examined life, ends in suicide.
Discuss.
Mkuu sijakuelewa unataka kujenga hoja gani.Ila kikubwa tunachojifunza kuhusu kifo cha Bw.Bourdain ni kuwa alikuwa na ugonjwa wa sonono.Na pia umetuambia kuwa Bw.Bourdain alikuwa ni mpagani.Angalizo ni kuwa watu wanaobudu upagani wajiangalie wasije wakapata sonono wakaishia kujiua.Sasa kama atheism ni mental illness, ambayo tumeioata kwa sababu Mungu kaumba ulimwengu ambao umeruhusu tuipate, na tumejaribu kumtafuta sana, ila huu ugonjwa aliouachia utupate umetuzuia kumjua, siku ya kiyama atatuhukumu kwamba hatukumjua wakati yeye mwenyewe nsiye kaachia ugonjwa aliourihusu utupate ufanye tusimjue?
Nikisema "Mungubsikukujua kwa sababu nilikiwa naumwa ugonjwa wa akiki wa atheism, na wewe mwenyewe unajua kwa sababu unaujua ubongo wangu, niachie nienxe mbinguni kwa ruhusa ya wagonjwa"
Mungu atasemaje?
Atamchoma moto mtu mwenye udhuru wa ugonjwa wa akili? Mungu mwenye haki kuu?
Au atamruhusu tu aende peponi afurahi bila ugonjwa wa akiki wa atheism?
Watu wa kila imani na wasioimani wanajiua.Kwa hiyo toa angalizo kwa watu wote usiwapunje.Mkuu sijakuelewa unataka kujenga hoja gani.Ila kikubwa tunachojifunza kuhusu kifo cha Bw.Bourdain ni kuwa alikuwa na ugonjwa wa sonono.Na pia umetuambia kuwa Bw.Bourdain alikuwa ni mpagani.Angalizo ni kuwa watu wanaobudu upagani wajiangalie wasije wakapata sonono wakaishia kujiua.
One has to strike the right balance between being mentally lazy and not examining one's life enough and being overly philosophical in over examining one's life.That’s a toughie...
I disagree.Depression tends to results in suicide.If Africa has highest depression rates in the world how come the suicide rate in Africa is so low.?may be u r right,but how do we know the rates in Africa if we believe depression is something of the west?....this means people will be misdiagnosed and other wont seek help at all.....therefore we will never know actual statistics......anyway I found this old post,i don't know its credibility though.....Africa has some of the highest depression rates in the world
Wow!
Can’t believe this.
I liked this guy and loved watching his programs on CNN, especially Parts Uknown.
He even did one on Tanzania a couple years ago.
Word is he took his own life. What’s up with this? Earlier this week it was Kate Spade. Now Anthony Bourdain.
Depression is real y’all.
May he rest in power!
Kiranga
Mkuu, chahali hajalipwa milioni 12.5,wewe ulilipwa pamoja na Mwanakijiji?