Pure Hillary trollHapana, hujaweza kunielewa hata siku moja. Mimi si team Clinton, ila kwa hali ya sasa namuunga mkono kwa sababu namuona kama the most prepared, the most capable and has the best temperament. Lakini sioni ajabu, wapo watu wameniita Chadema kwa sababu tu siipendi CCM...uamuzi namuachia the beholder!
Sasa turudi kwenye hoja na naomba nikupe hizi facts tano kuhusu Marekani...
Na ya tano ni hii ya mwisho kuhusu kurudishwa Ikulu mtu huyo huyo baada ya kutoka madarakani...
- In 1824 Andrew Jackson won the popular vote but got less than 50% of the electoral votes. John Quincy Adams became the next president when he was picked by the House of Representatives.
- In 1876 Samuel Tilden won the popular vote but lost the election when Rutherford B. Hayes got 185 electoral votes to Tilden’s 184.
- In 1888 Grover Cleveland won the popular vote but lost the election when Benjamin Harrison got 233 electoral votes to Cleveland’s 168.
- In 2000 Al Gore won the popular vote but lost the election to George Bush. In the most highly contested election in modern history, the U.S. Supreme Court stopped the Florida recount of ballots, giving Bush the state’s 25 electoral votes for a total of 271 to Gore’s 255.
Grover Cleveland was elected president (1884) then lost his re-election campaign (1888) and came back again to win the presidency for a second time. (1892)
Wanaona mbali wameshaona Trump gonna win the election ndio mana Mexican President Enrique Pena Nieto alimpa compliment invitation na wamediscuss kuhusu swala la border wall uliona wapi rais wa nchi jirani anakutana na presidential candidate and addressing negotiations about the two countries as if Obama is dead.
Clinton has no more.
Redeemer said:Wanaona mbali wameshaona Trump gonna win the election ndio mana Mexican President Enrique Pena Nieto alimpa compliment invitation na wamediscuss kuhusu swala la border wall uliona wapi rais wa nchi jirani anakutana na presidential candidate and addressing negotiations about the two countries as if Obama is dead.
Ushabiki wa Kitanzania...ukurupukaji na kutofuata sheria wala protocol mnaiona kama sifa ya kumpa mtu uongozi (Sadam Rais wa Kuwait); Rais wa Mexico alitoa mwaliko kwa wote...Trump kama kawaida akadakia, Clinton kwa kujua taratibu akapotezea.Well said, wewe ndiyo umemaliza kila kitu - nakupongeza sana.
Kuna hawa watu watatu Bush alizishwa na uwakiloshi wa Trump ndani ya chama, Bill Clinton naye lazima kuna vitu atafanya mke wake ashinde ,Obama vile vile anafanya kila liwezekanalo kummaliza huyu bwana na ukumbuke Obama ana chembe za Uafrika ambazo ni Umafia kwa kwenda mbele!
Ushabiki wa Kitanzania...ukurupukaji na kutofuata sheria wala protocol mnaiona kama sifa ya kumpa mtu uongozi (Sadam Rais wa Kuwait); Rais wa Mexico alitoa mwaliko kwa wote...Trump kama kawaida akadakia, Clinton kwa kujua taratibu akapotezea.
Ha ha haa Bukyanagandi, very funny!
No doubt you also believed this...!
Or this...Trump shot dead...!
Nimeziona hizo clips toka zinatolewa kwa mara ya kwanza na najua mengi tu...ungekuwa mtaalamu wa IT ungenielewa, sasa naomba tuachie hapo! Hivi Obama alimshindaje huyo mama!Najua wewe unataka kuanzisha malumbano yasiyo na msingi, sasa swali: Je, mama huyo hana tatizo lolote la kiafya? Clip ya kwanza walirudia rudia angalia zinazo fuata.
Ni kweli mkuu, hata TRUMP mwenyewe hilo analijua sana - lakini nina uhakika watakuwepo watu watakao hakikisha jaribio hilo linazimwa mapema - tukumbuke TRUMP naye ni mfanya biashara mahili ana marafiki wengi wenye marafiki - usifikiri naye awezi kufanya umafia akigunduwa jamaa wamepania kumchezea rough.
Katika uchaguzi huu mtu anaye pull a string ni Clinton Mr. amepania mkewe ashinde alafu yeye ndiye atawale akiwa nyuma ya pazia, anajua wazi mkewe ni mgonjwa wa kifafa aliyo upata miaka mnne iliyopita baada ya kudondoka na kubamizwa kichwa sakafuni, alipata brain concussion na blood clot kwenye Ubongo walimfanyia operation ya kutoa clot lakini hali yake bado haijatengamaa, madaktari bingwa wanasema kuanguka kwake sakafuni kilisababishwa na stroke, ugonjwa wa kifafa ujitokeza in mild form...
Ni kweli wazungu wabaguzi wote watampigia kura Trump lakini bahati nzuri si majority. Wangekuwa majority, Obama hangepata awamu ya pili achilia mbali awamu ya kwanza. Hata hivyo majimbo kama California, New York na majimbo mengine kama hayo wazungu wabaguzi wana wakati mgumu na kwa mara ya kwanza hata Texas wanaanza kushtuka.Ila kuna watu wanasema kuna wazungu wengi wabaguzi hawasemi hadharani watampigia kura Trump
ila siku ya uchaguzi watampigia na wakimpigia wengi anaweza kushinda
Ila kuna watu wanasema kuna wazungu wengi wabaguzi hawasemi hadharani watampigia kura Trump
ila siku ya uchaguzi watampigia na wakimpigia wengi anaweza kushinda
Propaganda za Trump. Hakuna ushahidi wowote.Ni kweli mkuu, hata TRUMP mwenyewe hilo analijua sana - lakini nina uhakika watakuwepo watu watakao hakikisha jaribio hilo linazimwa mapema - tukumbuke TRUMP naye ni mfanya biashara mahili ana marafiki wengi wenye marafiki - usifikiri naye awezi kufanya umafia akigunduwa jamaa wamepania kumchezea rough.
Katika uchaguzi huu mtu anaye pull a string ni Clinton Mr. amepania mkewe ashinde alafu yeye ndiye atawale akiwa nyuma ya pazia, anajua wazi mkewe ni mgonjwa wa kifafa aliyo upata miaka mnne iliyopita baada ya kudondoka na kubamizwa kichwa sakafuni, alipata brain concussion na blood clot kwenye Ubongo walimfanyia operation ya kutoa clot lakini hali yake bado haijatengamaa, madaktari bingwa wanasema kuanguka kwake sakafuni kilisababishwa na stroke, ugonjwa wa kifafa ujitokeza in mild form wakati mwingine anakuwa na bizzare behaviour wakati mwingine ana freeze kwa sekude kama thelathini akiwa ameshikiria mike, walizi wake wakiona hivyo wanamuwahi kimshikiria - cha ajabu wapiga kura wake health condition ya Hillary Clinton wala hawaiwekei maanani hata kidogo!!!
Huyu jamaa wazungu wanampenda tu kwasababu zao binafsi ila ameshaongea uongo sasa hadharani. But unajua tena ukipenda chongo.......Namkubal sana Trump kwa kwa ni mkweli na si mnafiki,