CNN Poll: Trump anaongoza

Marekani wanastrong institutions and ever thing is well structured so whoever comes into power will follow the route in place.so what will trump or h Clinton bring in as a new idea to Americans?? Its not developing country eg Tz Rais au waziri kila siku matamko tu...kule huwez vunja katiba alafu ukaaangaliwa tu
 
National polls hazikupi picha halisi tunajua kuna states like Texas, Oklahoma etc Trump hata asipopiga campaign atashida and same to Clinton in California or New York hahitaji kupiga campaign but guarantee she will win, state polls tena kwenye less than 10 states ndio zinaamua US president na zote Hillary anaongoza by far....Hillary Clinton is your next President
 
Battleground states zinaweza amua huu uchaguzi, na nyingi nazo Hillary ndo anaongoza so far ingawa the race is a bit tight.
 
Mexico walialikwa wote bt clinton akagoma kwenda
 
nimewahi soma sehemu nyingi sana watafiti wa kisiasa wanampa sana nafasi Trump ila najiuliza mbona ni mkorofi na anayezungumza maneno makali inakuwaje anakubalika dah siasa za wenzetu bana
 
zitto na maalim mpeni mama clinton techniq za kumgaragaza trump, nyny si mlihudhuria mkutano mkuu wa kumkabidhi kijiti cha ugombea wa urais kupitia democrat?
 
utafiti wa CNN hautofautiani na ule wa TWAWEZA.
 

DAT is normal,hata Clinton alialikwaa.. sema haiwez Ku trend kama ya trump
 
Hao unaowasema sawa wameacha historian mbaya Ila Mwanamke bwana ni mwanamke tu tunaongozwa zaidi na mioyo + hisia mi siamini katika usawa kati ya mwanamke na mwanaume kwa kweli!

Tunaweza kuongoza lakini maeneo machache sio kila sehemu wapo wachache wenye huo uwezo wengi wetu ni wadhaifu!
 
Najua kwamba mnakesha mkiomba ili bibie Clinton ashinde uraisi kwani Tutsi-hima supremacy in Rwanda, Uganda and DRC is well backed by Democrats!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…