PostGE2025 CNN, Larry Madowo, mmezionesha Media zetu jinsi uandishi wa habari unavyotakiwa kuwa

PostGE2025 CNN, Larry Madowo, mmezionesha Media zetu jinsi uandishi wa habari unavyotakiwa kuwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wapuuzi wote hao mm mwenyewe nina ripoti yangu ya uchunguzi nimeifanya kwa zaidi ya miaka kumi kuhusu Hawa waandishi uchwara na vyama vyao njaa vya mikoani,na inasikitisha.
Ni kwamba Kila baada ya miaka mitano vitambi vya viongozi wa vyama hivi huongezeka sasa sijui kuna nini ila sidhani kama ni ubwabwa wa chauma
 
Media zetu zimebaki kuonyesha bongo muvi na bongo fleva za nyege nyegezi habari za uchunguzi hawana habari nazo.

Genge la kina Balile TEF kazi yao ni kumsifia mama badala ya kusimamia maadili ya uandishi wa habari.

Kina Ayo, Mahela macho ni kwenye vibahasha na kuhudhuria matamsha ya misosi na ya taarabu za Kizimkazi na kuripoti matukio ya harusi.

Shame you all Tanzania Media, journalists, na mabaraza yenu yote, jukwaa la wahariri TEF shame on you ikiwemo wizara ya habari, jifunzeni hata kwa Media za majirani zenu Kenya.

Pia soma > CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors
Kwani kuna jipya gani ambalo kijana anaetumia apps za bure anashindwa kufanya kwenye hilo?? Mana video zote zipo hakuna mpya hata moja
 
tanzania hakuna media,embu imagine kipindi cha wasafi asubuhi uwezi kujua kama hawa ndo waandishi wa habari wakubwa tanzania makelele tuu,WATOTO watajifunza vp Kutoka kwao takataka tupu
 
Media zetu zimebaki kuonyesha bongo muvi na bongo fleva za nyege nyegezi habari za uchunguzi hawana habari nazo.

Genge la kina Balile TEF kazi yao ni kumsifia mama badala ya kusimamia maadili ya uandishi wa habari.

Kina Ayo, Mahela macho ni kwenye vibahasha na kuhudhuria matamsha ya misosi na ya taarabu za Kizimkazi na kuripoti matukio ya harusi.

Shame you all Tanzania Media, journalists, na mabaraza yenu yote, jukwaa la wahariri TEF shame on you ikiwemo wizara ya habari, jifunzeni hata kwa Media za majirani zenu Kenya.

Pia soma > CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors
Pascal Mayalla
 
KWAKWELI!
... a failed state, Kenya, is very busy trying to drag Tanzania into the hell hole they created for themselves knowingly!
Kenyan leaders should redistribute land to their poor citizens first, instead of trying to shift the attention of the hungry and angry masses to TZ!
🤣 😅
Wewe utakuwa ndiyo ulikuwa unawapiga watu risasi maana huna huruma na waliouawa
 
Matakataka ya samuya yanatamani kumteka Lary ila yakikumbuka hayupo bongo yanabaki kujinyea tu
Tayari chawa wa maccm akina Abubakar Liongo Steven Nyerere mwijaku na wenzao Wameomba dola milion 2 kwa ajili ya kwenda kuhonga kutoa Rushwa kwa wahariri wa CNN ili waache kurusha video na picha zingine wizi wa pesa za walipa kodi umeanza kupitia humo, wezi hawachelewi kutumia fursa
 
Ni kwa sababu ya nature ya wabongo fuatilia utofauti wa ufuatiliaji kati media za maana na za hovyo utaona za hovyo Zina wafuasi wengi ndio maana watu wanawaletea mambo ya hovyo ili wao wapige maokoto

Ya
Ni kwa sababu ya nature ya wabongo
ndyo
fuatilia utofauti wa ufuatiliaji kati media za maana na za hovyo utaona za hovyo Zina wafuasi wengi ndio maana watu wanawaletea mambo ya hovyo ili wao wapige maokoto
lakni hii yote ni kwa sabab ya utawal ulokuwepo mpka sasa unazid kuzalisha kizaz cha namna hii ili iwe raisi kuwatawala
 
Wapuuzi wote hao mm mwenyewe nina ripoti yangu ya uchunguzi nimeifanya kwa zaidi ya miaka kumi kuhusu Hawa waandishi uchwara na vyama vyao njaa vya mikoani,na inasikitisha.
Ni kwamba Kila baada ya miaka mitano vitambi vya viongozi wa vyama hivi huongezeka sasa sijui kuna nini ila sidhani kama ni ubwabwa wa chauma
Sasa wanagombania mchongo wa Abubakar Liongo kwenda kuhonga kutoa Rushwa CNN ili wagawane wenyewe ni wizi mpya kupitia CNN
 
Kuna sehemu naelewa kwanini media za ndani hazikuripoti sana haya mambo. Sio kila mtu anaweza kupay price ya kutekwa, kufungwa, kuuwawa na familia yake kusambaratika kisa tu kuwapa habari watz ambao wanakusahau the moment wewe madhira yamekupata. Polepole kimemramba anayelia ni mama yake na ndugu zake wabongo tushasahau. Hao waandishi wa habari wa ndani ni watu kama wewe na sio kila mtu ana moyo wa TL. Nao wanapenda maisha yao kuliko wanavyokupenda wewe au TZ yenyewe. Mambo mengine acheni media za nje zifanye maana Hangaya na genge lake hawawezi kuwafikia. Hakuna Habari kubwa kuzidi Maisha yako.
 
Wakenya tunaomba Larry MADOWOOO awe mtanzania halafu tuwape diamond,Millard AYO,Salim kikekee,halafu tuwajazie maulid kitenge
 
Kuna sehemu naelewa kwanini media za ndani hazikuripoti sana haya mambo. Sio kila mtu anaweza kupay price ya kutekwa, kufungwa, kuuwawa na familia yake kusambaratika kisa tu kuwapa habari watz ambao wanakusahau the moment wewe madhira yamekupata. Polepole kimemramba anayelia ni mama yake na ndugu zake wabongo tushasahau. Hao waandishi wa habari wa ndani ni watu kama wewe na sio kila mtu ana moyo wa TL. Nao wanapenda maisha yao kuliko wanavyokupenda wewe au TZ yenyewe. Mambo mengine acheni media za nje zifanye maana Hangaya na genge lake hawawezi kuwafikia.
Kama wanahofia familia zao kwanini walisomea uandishi wa habari si watafute fani zingine kama umama ntilie au salon pale veta wanafundisha.
 
Back
Top Bottom