Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 13,602
- 28,731
Kama wanahofia familia zao kwanini walisomea uandishi wa habari si watafute fani zingine kama umama ntilie au salon pale veta wanafundisha.
Hawakusomea kuweka maisha yao rehani. Hakuna Habari kubwa kuzidi Maisha yako.