PostGE2025 CNN, Larry Madowo, mmezionesha Media zetu jinsi uandishi wa habari unavyotakiwa kuwa

PostGE2025 CNN, Larry Madowo, mmezionesha Media zetu jinsi uandishi wa habari unavyotakiwa kuwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kama mtu anatekwa hadharani na wananchi wanaangalia na wengine kupita kando unataka wahariri wafanyeje kwa gharama ya nani? Though wao ndio wametufikisha hapa kwa uchawa wao
Wanatakiwa waripoti walichokiona kuwa mtu katekwa huku wananchi wakiangalia.
 
Unataka mimi nisomee fani zote, nakosoa fani ya habari na mimi nikikosea kwenye fani yangu ya uhandisi nikosolewe.
sasa kama huezi basi heshimu media za wengine, kama wameamua kutoweka heshimu or else nenda media unaotaka ziko nyingi
 
KWAKWELI!
... a failed state, Kenya, is very busy trying to drag Tanzania into the hell hole they created for themselves knowingly!
Kenyan leaders should redistribute land to their poor citizens first, instead of trying to shift the attention of the hungry and angry masses to TZ!
🤣 😅
🤟🤘
 
Ziwezi walaumu watu kama Clouds na Azam (Ukizingatia Entertainment is their Bread and Butter) pia kuna msemo wa Retreating is not Surrendering bali ni kujipanga kwa vita vya kesho...., That said lawama ziwafikie kina ITV na TBC as well as kina Balile ambao walitaka kuwazibia wengine wote kufanya hio kazi eti wao ndio ma-profesionali watoa Idhibati - Ujinga Mtupu

 
Ni kwa sababu ya nature ya wabongo fuatilia utofauti wa ufuatiliaji kati media za maana na za hovyo utaona za hovyo Zina wafuasi wengi ndio maana watu wanawaletea mambo ya hovyo ili wao wapige maokoto

Ya
Inabid Wabadilike Siamin Nchi Kama Angentina Ambayo Ina Ranking Ya Kwanza Kisoka Kama Media Zao Zime Focus Na Mambo Ya Mpira Mda Wote
 
Larry Madomo for Pulitzer prize!
1763728757180.jpeg
 
KWAKWELI!
... a failed state, Kenya, is very busy trying to drag Tanzania into the hell hole they created for themselves knowingly!
Kenyan leaders should redistribute land to their poor citizens first, instead of trying to shift the attention of the hungry and angry masses to TZ!
🤣 😅
Masikini wewe una kipi cha kumtambia Mkenya wewe binafsi na kama Tanzania?

Yani huku nchi mavi mavi takataka uishindanishe na educated people
 
Media zetu zimebaki kuonyesha bongo muvi na bongo fleva za nyege nyegezi habari za uchunguzi hawana habari nazo.

Genge la kina Balile TEF kazi yao ni kumsifia mama badala ya kusimamia maadili ya uandishi wa habari.

Kina Ayo, Mahela macho ni kwenye vibahasha na kuhudhuria matamsha ya misosi na ya taarabu za Kizimkazi na kuripoti matukio ya harusi.

Shame you all Tanzania Media, journalists, na mabaraza yenu yote, jukwaa la wahariri TEF shame on you ikiwemo wizara ya habari, jifunzeni hata kwa Media za majirani zenu Kenya.

Pia soma > CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors
Cc. Ayubu Ryoba.
 
Back
Top Bottom