PostGE2025 CNN, BBC, DW na vyombo vingine vya kimataifa vyaripoti barua ya Mange kwa Trump

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
CNN, BBC, DW na vyombo vingine vya kimataifa vya ripoti barua ya mange kwa trump, je gen z kupata support ya trump ni ushindi kuelekea #D9?

Trump anaweza kushinikiza uchaguzi huru na wa haki kwa masaa 24 tu urudiwe. Gen z kuendelea kumuita trump huku mamlaka zake kuendelea kutathimini uhusiano na Tanzania kuna pelekea uwezekano mkubwa wa trump kuingilia kati.
 
Weka ushahidi boss ili nafsi zetu zifurahi
 
CNN, BBC, DW na vyombo vingine vya kimataifa vya ripoti barua ya mange kwa trump, je gen z kupata support ya trump ni ushindi kuelekea #D9?

Trump anaweza kushinikiza uchaguzi huru na wa haki kwa masaa 24 tu urudiwe. Gen z kuendelea kumuita trump huku mamlaka zake kuendelea kutathimini uhusiano na Tanzania kuna pelekea uwezekano mkubwa wa trump kuingilia kati.
Copy ya hiyo barua ingepelekwa Fox News pia. Hiyo ndiyo TV pendwa ya Trump!
 
CNN, BBC, DW na vyombo vingine vya kimataifa vya ripoti barua ya mange kwa trump, je gen z kupata support ya trump ni ushindi kuelekea #D9?

Trump anaweza kushinikiza uchaguzi huru na wa haki kwa masaa 24 tu urudiwe. Gen z kuendelea kumuita trump huku mamlaka zake kuendelea kutathimini uhusiano na Tanzania kuna pelekea uwezekano mkubwa wa trump kuingilia kati.
Upumbavu mtupu mnaongea. Huyo Trumpet akipewa Kamgodi kadogo tu huyo Mange Kimavi atarudishwa
Tanzania kama Paka mwizi.
 
Ipo kwa ccm mafisadi Ndyo huo mchezo cyo wazungu ndgu
 
Upumbavu mtupu mnaongea. Huyo Trumpet akipewa Kamgodi kadogo tu huyo Mange Kimavi atarudishwa
Tanzania kama Paka mwizi.
Hii yako ndio upumbavu mkubwa zaidi, yani utoe rasilimali za nchi kwa ajili ya kiumbe mmoja?
 
CNN, BBC, DW na vyombo vingine vya kimataifa vya ripoti barua ya mange kwa trump, je gen z kupata support ya trump ni ushindi kuelekea #D9?

Trump anaweza kushinikiza uchaguzi huru na wa haki kwa masaa 24 tu urudiwe. Gen z kuendelea kumuita trump huku mamlaka zake kuendelea kutathimini uhusiano na Tanzania kuna pelekea uwezekano mkubwa wa trump kuingilia kati.
 
Attachments

  • 20251204_170516.jpg
    20251204_170516.jpg
    154.8 KB · Views: 13
Kigagula hana akili huyo Trump mwenyewe alishawahi kufungiwa account zake na Meta na hakuna alichofanya zaidi ya kususa na kuanzisha mtandao wake.

Kigagula na yeye aanzishe mtandao wake akitaka kufanya huo ujinga wake kwa amani vinginevyo atalia sana.
 
Back
Top Bottom