CMS ipi ni nzuri zaidi

CMS ipi ni nzuri zaidi

Kelela

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2020
Posts
210
Reaction score
344
Naomba kujua Top 3 CMS ambazo kwa utaalamu wako unazikubali.

Ukitoa na sababu itakuwa poa zaidi.

Nianze na mimi mwenyewe (ila nazijua mbili tu)
1. WordPress: Sababu Ni rahisi kusetup na kumanage.

2. Joomla: SEO Friendly.

Kuna kitu nataka kujifunza.
 
Twende na Wordpress. Kwanza ni nyepesi na community yake sio ya kitoto. Ila hakikisha template yake unanunua. Hizi za bure haziko stable na pia support yake haipo
 
Back
Top Bottom