CMG tupeni mrejesho wa kilichopatikana Na matumizi ya michango tuliyotoa Kwa ajili ya matibabu ya ndg yetu Ruge

Kwani familia ya ruge walimpigia simu mtoa mada kumuomba mchango?
Njia ile ile iliyotumika kuomba ndio hiyo hiyo itumike kutoa feedback
Kwani clouds walimpigia cm mtoa maada kuomba msaada..wenyew na vyombo vingine vya habari walisema jamaa anaumwa anahitaji michango kama kuna mtu atume moja kwa moja kwa mdogo wake tena hakukuwa na longolongo...sasa wewe kama unataka kujua mapato na matumizi iulize familia ndo inajua mapato na matumizi
 
Clouds waliniomba mchango kupitia redio , ulitaka waje nyumbani ndio nipate uhalali wa kuhoji? Mbona unakuwa kama z.uzyu wewe.

Toka mwanzoni nimekutilia mashaka sana huenda we ni mnufaika mkubwa wa hayo makusanyo Na nimekupapasa pabaya

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Kwani familia ya ruge walimpigia simu mtoa mada kumuomba mchango?
Njia ile ile iliyotumika kuomba ndio hiyo hiyo itumike kutoa feedback
Jamaa hopeless sana huyo

Clouds hawakukuomba mchango walikuomba uichangie familia..hakuna mtu yoyote aliewatumia mchango clouds...kama uliwatumia mchango clouds tuambie mwenzetu uliwatumia kwa njia gani
 
Well , Clouds waliomba mchango Kwa ajili ya Familia , hiyo Familia wao ndio wanaijua, Clouds wao wakakusanye hizo taarifa watupatie ! Mbona Jambo jepesi tu hili

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Well , Clouds waliomba mchango Kwa ajili ya Familia , hiyo Familia wao ndio wanaijua, Clouds wao wakakusanye hizo taarifa watupatie ! Mbona Jambo jepesi tu hili

Sent from my Iphone using Tapatalk
Nenda kakusanye wewe hizo taarifa kutoka kwenye familia kama ni jambo jepesi...mbona namba ya mdogo wake tuliokuwa tunampa michango kwa niaba ya familia ipo...unga kifurushi tu cha mia tano mpigie wewe akupe mchanganuo..mbona rahisi tu
 
piga namba ya kemilembe mutahaba.. atakupa taarifa...

unakuta mtoa mada hajachanga hata mia..

maskini tuna roho za ajabu sana..

professor mutahaba akuibie wewe ambaye hata hatukujui.. anaanzia wapi?
 
Back
Top Bottom