Club Soda

rushanju

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
3,130
4,620
Soda hii pamoja na tonic water ni soda ambazo ladha yake inapendwa na watu maalum. Mimi niliinywa kwa mara ya kwanza katika mazingira tatanishi kdg. Je wenzangu yaliwakuta yapi mlipokunywa soda hii kwa mara ya kwanza.
 
Mr ebbo R.I.P amewahi kusema soda chungu kama magadi halafu wanauza makusudi
 
Back
Top Bottom