Mkuu cheki hapo kwenye ukumbi Mlimani City nafikiri watakuwa wameishaanza kufanya sound test na mic check one..two.. hauoni bendera za Club E zinapepea hapo nje..
mombasa then dodoma! kweli hii ni miaka 50 ya uhuru!
Dah! Ina maana hapa ndani Mlimani City kwenye Club E hakuna member wa JF humu ndani mbona siwaoni.
Sio mimi huyo atakuwa jamaa wa pembeni ana kitambi kama mfuko waare u u?
Ndo wewe umevaa suruali na shati.
Mie nna chupa ya heinken
are u u?
Ndo wewe umevaa suruali na shati.
Mie nna chupa ya heinken
Eeeeh kavaa suruali na shati!!!!!!!!!!!!!!
Uko wapi wewe tuko na Kongosho mbona hatukuoni...Eeeeh kavaa suruali na shati!!!!!!!!!!!!!!
Mbona sikukuona labda ulizamia.we Smile wewe!nimeingia club E jana saa sita usiku nikitokea buibui kinondoni,mpaka saa hizi niko ukumbini,mbona sikuoni we mtoto?
Mkuu hebu nijuze kidogo, mimi ni member wa club E lakini sijapata Invitation ya event yoyote tangu ile show ya Werrason Diamond Jubelee, au wafanyakazi wa TCC wameanza kuchakachuwwa complimentary zetu?Mbona sikukuona labda ulizamia.
Mkuu uchakachuaji inawezekana upo maana kuna mshikaji wangu mwingine naye aliniambia ni member wa Club E lakini baadhi ya invitation huwa hapati sasa sijui inawezekana wanazigawa kwa wengine.Mkuu hebu nijuze kidogo, mimi ni member wa club E lakini sijapata Invitation ya event yoyote tangu ile show ya Werrason Diamond Jubelee, au wafanyakazi wa TCC wameanza kuchakachuwwa complimentary zetu?
Hebu nijuze kidogo maana show nyingi zimenipita bila kutumiwa msg kwenye simu yangu.
Hii nchi imeshaharibika kila eneo, ngoja next week nikipata muda wa kuchezea nitaenda makao makuu yao kwenda kuwasanuwa, changes begin with u.Mkuu uchakachuaji inawezekana upo maana kuna mshikaji wangu mwingine naye aliniambia ni member wa Club E lakini baadhi ya invitation huwa hapati sasa sijui inawezekana wanazigawa kwa wengine.
hivi we Matola TF anakuingiza choo cha kike kirahisi hivo,hivi we unaona TF ana ubavu wa kuingia maeneo ya washua? Kwa taarifa yako TF outing zake na Smile ni uwanja wa fisi,msasani maandazi road,mfaranyaki songea,mlango mmoja mwanza,pumwani nairobi........just mention it!Hii nchi imeshaharibika kila eneo, ngoja next week nikipata muda wa kuchezea nitaenda makao makuu yao kwenda kuwasanuwa, changes begin with u.
hivi we Matola TF anakuingiza choo cha kike kirahisi hivo,hivi we unaona TF ana ubavu wa kuingia maeneo ya washua? Kwa taarifa yako TF outing zake na Smile ni uwanja wa fisi,msasani maandazi road,mfaranyaki songea,mlango mmoja mwanza,pumwani nairobi........just mention it!
Mkuu uchakachuaji inawezekana upo maana kuna mshikaji wangu mwingine naye aliniambia ni member wa Club E lakini baadhi ya invitation huwa hapati sasa sijui inawezekana wanazigawa kwa wengine.