Club Ambiance ( Corner bar) yafungwa rasmi Kinondoni

Huu utawala wa ajabu kuwahi kutokea, fikiria ni ajira ngapi zimepotea. Kila mtu anatafuta misifa ya kijinga. Hii ni vita dhidi ya watu wa kaskazini
Sasa mambo ya kaskazini yameingiaje hapa na wewe?
 
Aiseee jamaa zangu wakitokaga mikoani huko wakitaka migegedo nawapelekaga pale halaf nawapatania mwnyewe nakula cha juu,,sasa cjui nitawapeleka WAP tena duuuh
 
Jaman hawa madada wanasaidia sana sasa tutaanza kubaka mana WAKOMBOZI mnawatoa hivi hamuelewi madada poa ndo wanawake pekee yenye promise ya kweli jaman siku ukijisikia tu unapata
 
Dah, tatizo nao wanakurupuka pale hapauzwi madada poa ila wanasogea pale kwakuwa kuna wanywaji ambao wengine wakitoka wanachukua madada poa. Ila kufunga biashara ya yule mzee sio poa.. Ngoja nitoke nikacheki kama ni kweli
Kwani hakuna polisi wa kuwa kamata hao madada poa?
 
Vipi jamaa akienda mahakamani kudai fidia ya hasara anayopata? Maana ameshalipia mapato tra
 
Vipi usiku mambo yetu yale hayapo tena? Maana walikuwa wanajipanga barabarani na sio ndani ya baa
 
.... Kwa kasi hii ngoja tuone TRA mwezi July watasema Jan-June wamekusanya ngapi
Ni aheri kubaki masikini na dhiki zako kuliko kufurahia mapato ya dhambi.
Umalaya na ushoga, madawa ya kulevya, vyote vinaenda sambamba. Ukiona mtu anateteatetea jiulize marambilimbili kuhusu uadilifu wake ki maadali.
 
Kwaiyo kusimamia sheria ndo uhathiri na wasiohusika.au unadhani ni watu wangapi wamepoteza vipato vyao halali kwakufunga iyo bar.mbona ilo jambo lingeweza kusimamiwa na polisi na bar ikaendelea kutoa huduma zingine kama kawaida.nakama sheria zipo uyo mmiliki keshapelekwa mahakamani mara ngapi ili tumuite ni sugu kiasi chakufanya ofisi yake ifungwe..tuwe tunatumia akili wakat mwingine.eboo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…