Club 71 Tegeta kwishineiiiii!

kiongozi upo!!.salam salam.
 
Sio dar bali ni tanzania nzima.....ukienda sehemu kama kwa majirani zetu hapo UG club kama Silk au Ange noir kuna sehemu VIP kabisa na ukija hueleweki eleweki unapigwa chini fasta hakuna kuharibu starehe za watu wastaarabu.....

hii nchi imepoteza umakini kuanzia mwishoni mwa 1980s kuja huku dotcom. zamani kilimanjaro hotel ukienda umevaa kijinga una ka-tshirt kako, jeans na raba mtoni chini ulionekana muhuni na usingeruhusiwa...

...ni ujinga umefanya tupuuze viwango na kukumbatia upuuzi....sawa tu na kusema gari aina ya Noah ni marufuku kubeba abiria lakini pikipiki ruksa, wehu tu vinginevyo hiyo unaiweka kiwango kipi???
 
kiongozi upo!!.salam salam.

nipo kaka, duh, long time... watu wengine bhana, yan mtu anakubali chochote, konda akimwambia shuka upande gari hii anakubali. akiambiwa akae na wenzake 6 kwenye siti ya watu watano ye poa tu, kisa anaogopa akisema ataambiwa panda taxi.
 

Very well said
 
Wabongo huwa mnafurahisha, ukiambiwa wewe anzisha ufanye hivyo, mabreak!
 

Kwani umefungiwa RIBITI hapo hadi ushindwe kubadilisha kijiwe???
 
Sio dar bali ni tanzania nzima.....ukienda sehemu kama kwa majirani zetu hapo UG club kama Silk au Ange noir kuna sehemu VIP kabisa na ukija hueleweki eleweki unapigwa chini fasta hakuna kuharibu starehe za watu wastaarabu.....
True that,mkuu Umenikumbusha mbal sana Silk n Ange noir wamejitahid sana Ao Majiran zetu tatizo la Nchi ile liko kwenye mi Boda Boda tu kero kero tupu ila sehem za bata kwakwel zimejitahid.
 
True that,mkuu Umenikumbusha mbal sana Silk n Ange noir wamejitahid sana Ao Majiran zetu tatizo la Nchi ile liko kwenye mi Boda Boda tu kero kero tupu ila sehem za bata kwakwel zimejitahid.

bata la nchi ile ni noma mkuu......
 

da mkuuu ishu ya standards kwa viwanja vya hapa bongo hakuna kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
halafu dondoka nairobi ingia club f2 au f1.ayayaya vitu classic
n well organized night clubs.

mkuu kwa Nai kuna mpangilio wa hali ya juu sana aisee hakuna mambo ya kila watu wooooote mnajazana katika kajiclub kamoja na joto kibaaaaooooaisee
 
Of the two silk imetulia zaidi kwa mtazamo wangu..club sio mahali pa kwenda...kama unahitaji kuburudika

mmmh sure kama kule upstares royale pako super kweli kweli aiseeeeee........
 
mkuu umenikumbusha club za ug ngoja nifanye mchakato nikale bata uko.wengine tumezoea tukiingia club tunaingia VIP lakin naona tz aipo hiyo.

yaap mpango wa VIP muhimu saaana aiseee maana kwa hapa bongo yaani kila mtu wasaniii, wakurungenzi, wabunge etc etc etc etc woooooooote mnajirundika kwenye club moja aisee
 
I'm glad umeliona hilo manake ukiingia clubs nyingi Dar tena the so called za maana watu wamevaa kobanzi, kandambili, kaptula etc

shida ni kwamba hakuna class wala standards aisee ndio shida maana ingekuwepo na standards lazima na heshima ingekuwepo.......................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…