Sio dar bali ni tanzania nzima.....ukienda sehemu kama kwa majirani zetu hapo UG club kama Silk au Ange noir kuna sehemu VIP kabisa na ukija hueleweki eleweki unapigwa chini fasta hakuna kuharibu starehe za watu wastaarabu.....

Mkuu Nyangi m.a sikatai kwamba kila mtu ana haki ya starehe lakini lazima kuwe na standards...kama kila sehemu ya starehe kila mtu anaingia nadhani itakuwa sio.Kuna vijana wanachipukia starehe ukiwa nao jirani hao utapata tabu sana..LAZIMA KUWE NA STANDARDS KWENYE BIASHARA KAMA YA CLUB!

Hahaha,,,,,waache watu wale jasho lao hata kama ni maskini,,if you think your classy,casino is a right place for you,
unataka wavae kanzu?Clubs nyingi sana Dar utakuta club nzuri lakini dress code ndio mgogoro. Owners wengi wanachojali ni pesa na sio class
Sio dar bali ni tanzania nzima.....ukienda sehemu kama kwa majirani zetu hapo UG club kama Silk au Ange noir kuna sehemu VIP kabisa na ukija hueleweki eleweki unapigwa chini fasta hakuna kuharibu starehe za watu wastaarabu.....
shut the fu&*ckup who the hell are you making yourself judger!
halafu dondoka nairobi ingia club f2 au f1.ayayaya vitu classicSio dar bali ni tanzania nzima.....ukienda sehemu kama kwa majirani zetu hapo UG club kama Silk au Ange noir kuna sehemu VIP kabisa na ukija hueleweki eleweki unapigwa chini fasta hakuna kuharibu starehe za watu wastaarabu.....