Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,142
- 13,258
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti,
Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea, badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.
Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri
Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa ktk mambo makubwa kabwa kama katiba kwa kutojua athari zake? Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania? Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia ktk mazingira hayo??
Nawakilisha.
Yaani bahati mbaya,ikitokea vita ya kisiasa.
Kituo cha kwanza kuwashwa moto itakuwa hayo ma clauz
mashenz sana
Kwa uwezo wako mdogo wa kufikiri Babla, Mbwiga na PJ ndo maoni ya wananchi????
Hivi Barbara kaolewa? Anaitaji ku-su----wa:A S wink:
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti,
Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea, badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.
Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri
Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa ktk mambo makubwa kabwa kama katiba kwa kutojua athari zake? Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania? Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia ktk mazingira hayo??
Nawakilisha.
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti,
Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea, badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.
Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri
Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa ktk mambo makubwa kabwa kama katiba kwa kutojua athari zake? Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania? Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia ktk mazingira hayo??
Nawakilisha.
Sasa kilichowatuma wasome habari zingine za waipotezee hiyo ni nini? Za kwako changanya na za mbayuwayuNi waandishi wa habari wa gazeti la mwanasiasa mmoja wapo aliegoma kuingia bungeni, isitoshe wafanya kazi wake wote ni wanachama wa chama hicho ambacho card ya uanachama waliletewa ofisini.
Asante mleta mada.Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa ktk mambo makubwa kabwa kama katiba kwa kutojua athari zake? Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania? Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia ktk mazingira hayo??
Nawakilisha.
Sijakuelewa vizuri.
Wananchi ni nani? Au wewe ni mwanachi na wao si wananchi?
NILIFURAHI NA NLIMUONa HUYU MTOTO KAMA SHUJAA .< Umewahi kumuona kwenyeTV yao?