Kwani hapo waliokereka ni Clouds FM ama ni wananchi? Ina maana akina Babra na PJ pamoja na Mbigwa wanawakilisha waTanzania 47Millions
Clouds kwanza labda hapa Dsm ndo kunawatu wanaendelea kuisikiliza!Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti,
Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea, badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.
Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri
Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa ktk mambo makubwa kabwa kama katiba kwa kutojua athari zake? Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania? Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia ktk mazingira hayo??
Nawakilisha.
Wao wamepata fursa ya kutoa ya moyoni kwakuwa wako radioni, jiulize je ni wangapi hawana pa kusemea na wamekelwa na hili jambo?
Duh...safi sana. Hawa sijui nani kawaambia wakiua tanzania ndio wataingia ikulu!Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti,
Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea, badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.
Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri
Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa ktk mambo makubwa kabwa kama katiba kwa kutojua athari zake? Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania? Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia ktk mazingira hayo??
Nawakilisha.
Kusaga mmiliki ni kada wa chama tawala, , kibonde ndio Mc wao kila kukicha, na wanatumia viwanja vya ccm ktk fiesta unategemea wataunga mkono ukawa???
NJAA KITU MBAYA SANA , INAFANYA RADIO ZINAUZA UFAHAMU WAO !!
Sasa hiyo Rasimu ya katiba ilipelekwa bungeni kufanya nini kama hamtaki mabadiliko? Warioba alitakiwa akimaliza kazi yao angeipeleka kwa wananchi ipigiwe kura iwe katiba kamili, ni upuuzi kupinga isijadiliwe na nufanyiwa marekebisho kwa manufaa ya wachache.
Ni wananchi. Wa Tanzania, na ni baadhi tu ya wananchi waliokereka na ukawa, ila wao wamepata fursa ya chombo kwa kutoa duku duku lao, je ni wangapi hawana pa kusemea?
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti,
Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea, badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.
Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri
Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa ktk mambo makubwa kabwa kama katiba kwa kutojua athari zake? Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania? Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia ktk mazingira hayo??
Nawakilisha.
Nasikia hajaolewa. Ana mtoto mmoja ambaye bahati mbaya alizalishwa na mume wa mtu. Mwenye mwenye mume akamkomalia asimuone na mume wake. Kwa sasa ni single mother ready to mingle with anybody!Hivi Barbara kaolewa? Anaitaji ku-su----wa:A S wink: