Hapana yule uandishi wake uko deep sana japo nimesikiliza nyimbo zake chache sana. Mimi hata sijawahi fanya mziki mkuu na ikitokea niimbe nitaimba gospel za kuabudu. Nadhani hapa utagundua kuwa siwezi kuwa Nash MC