Clouds tv waonesha vita ya Libya

Clouds tv waonesha vita ya Libya

hafu kwa nn jamaa wa cloud wanapenda kuchekacheka,? mi naona kama matahila vile! taarfa zenyewe wanaongelea za majumbani kwao wafunge tu kituo hiki.
 
Katika habari yao ya jioni hii Clouds tv wameanza na habari ya kulinda amani.

Chakushangaza wameanza kwa kuonyesha vita vya Libya na kuanza kuweka ulinganishi na hali ya Tanzania na matamko ya Amani yaliyotolewa leo.

Mmeweka hzo video tena na sauti ili iweje?
Wito wangu ni huu, Clouds tv acheni huo mtindo mnaotaka kuanza huko ni kuwapa hofu wananchi katika kufanya maamuzi yao.

Mbona unakuwa kama mtoto
Sasa unaogopa nini
Mbona wakionyesha wagonjwa wa ebola hulalamiki
 
Ivi wanahabari hata Angaza siku hizi hawaonyeshi tena video za wenye ukimwi?!
 
wanataka kuhakikisha watanzania wanapiga kura za khofu sio kuchagua viongozi wa kuleta maendeleo, this is just fear mongering
 
Kuna sera nzito inasimamiwa na CCM.Awali nilijua "mfupa hauna ulimi",kumbe ndo sera yenyewe na inanadiwa kila mahali.Jamaa wa CCM anasema nchi itageuzwa Libya...kwa kusisiza hilo wameanza kurusha video za Libya kwenye maTv yao.Ningependa kujua hii sera itatekelezwa vipi na nani atakuwa Gadafi katika utekelezaji
 
The world is watching
 
Mods acheni kutumika,huu uzi una uhusiano gani na huku mlipoweka
 
kwa nini kipindi hichi cha uchaguzi
 
Wana tumiwa ka ndomu, hawajui hata sababu za vita vya Libya ndio maana hawajui hata rais alieondolewa libya, sasa watu kama hawa ni wa kuwajadili kweli? Kwa nini wasitumie mfano wa Marekani walipoamua kuongozwa na Rais mweusi? Majizi na mafisadi ndio yametufikisha hapa, mwingine haikuwa kazi rahisi kufika hapa, hawa watu IQ zao zimepoozwa na ukawa. Lazima tuchague ukawa.
 
Hivi kilauz tv ni chombo cha habari? Mimi ni juavyo ni ofisi ya ruge ya kuwanyongea wasanii haki zao!!
 
Mimi nimefuatilia taarifa za habari za Clouds TV tangu jumamosi iliyopita hadi jana usiku na kugundua kuwa TV inarusha maendeleo ya kampeni za uchaguzi kwa wagombea wa CCM tu za upinzani hawaonyeshi kabisa. Na pale wanapoonyesha dondoo za upande wa Ukawa jua kuna suala baya linazungumziwa kama hilo la vurugu za Lbya.
 
Back
Top Bottom