Clouds tv waonesha vita ya Libya

Clouds tv waonesha vita ya Libya

Katika habari yao ya jioni hii Clouds tv wameanza na habari ya kulinda amani.

Chakushangaza wameanza kwa kuonyesha vita vya Libya na kuanza kuweka ulinganishi na hali ya Tanzania na matamko ya Amani yaliyotolewa leo.

Mmeweka hzo video tena na sauti ili iweje?
Wito wangu ni huu, Clouds tv acheni huo mtindo mnaotaka kuanza huko ni kuwapa hofu wananchi katika kufanya maamuzi yao.

Ujue vita ya Libya haikutokana na wananchi kukosa mahitaji yao au kukosa maendeleo, vita ya Libya ilitokana na chokochoko za wazungu ili kumng'oa Gadafi.
 
Mimi nimefuatilia taarifa za habari za Clouds TV tangu jumamosi iliyopita hadi jana usiku na kugundua kuwa TV inarusha maendeleo ya kampeni za uchaguzi kwa wagombea wa CCM tu za upinzani hawaonyeshi kabisa. Na pale wanapoonyesha dondoo za upande wa Ukawa jua kuna suala baya linazungumziwa kama hilo la vurugu za Lbya.

Joseph kusaga yeye ni Ukawa na Wafanyakazi wengi wa Clouds ni Ukawa lakini Joseph haishi Dsm yupo Dubai siku hizi pia yeye huwa hayupo front kusaka michongo ikulu na ccm, mjanja wao Ruge Mtahaba ni ccm yeye mda wote yupo na ndiye kiungo kati ya clouds na Serikali huku akiwa rafiki mkubwa wa akina January na wakuu wengi wa Serikali ndiyo maana huwa hafichi mahaba yake Kama Dialo wa star TV, ila kuna utofauti kidogo kati ya clouds na Star TV kwani kidogo clouds huwa wanabalance habari za Ukawa kuliko star tv ambao sasa wapo Kama TBC.
 
Wana tumiwa ka ndomu, hawajui hata sababu za vita vya Libya ndio maana hawajui hata rais alieondolewa libya, sasa watu kama hawa ni wa kuwajadili kweli? Kwa nini wasitumie mfano wa Marekani walipoamua kuongozwa na Rais mweusi? Majizi na mafisadi ndio yametufikisha hapa, mwingine haikuwa kazi rahisi kufika hapa, hawa watu IQ zao zimepoozwa na ukawa. Lazima tuchague ukawa.
Chanzo cha vita ya Libya hakifanani na hali harisi ya Tanzania kwani walibya walivamiwa na wazungu na sasa wanajuta kuwaunga mkono wazungu.
 
....bongo eh,bongo dar es salaam, utalia lia lia, bongo dar es salaam!
...bongo ya sasa sio bongo ya mwaka 47......
Nani ataleta vita hapa kama sio hao wenye silaha!?
 
Iko siku wananchi wenye hasira watachoma moto clouds na star TV

USHAURI WA BURE;
Kusema kweli kwa mtazamo wangu ni makosa makubwa kwa vyombo vya habari (vya watu) binafsi kujiingiza ktk propaganda na kuwaonyesha wananchi picha za vitisho ktk kipindi cha uchaguzi kama hiki, wanahatarisha usalama na wanavijengea uhasama vyombo vyao.
Achaneni na vipindi kama hivyo.
 
Wa-bongo bana!!! Ujasiri wa "fake identity" na "keyboard". "Hali ikishakuwa tete" wote wanapanda "Dar Express" na "Princes Muro" na kuelekea kunakojulikana... Shame on you!!!
 
Back
Top Bottom