Katika habari yao ya jioni hii Clouds tv wameanza na habari ya kulinda amani.
Chakushangaza wameanza kwa kuonyesha vita vya Libya na kuanza kuweka ulinganishi na hali ya Tanzania na matamko ya Amani yaliyotolewa leo.
Mmeweka hzo video tena na sauti ili iweje?
Wito wangu ni huu, Clouds tv acheni huo mtindo mnaotaka kuanza huko ni kuwapa hofu wananchi katika kufanya maamuzi yao.
Saddam Hussein wa kuwait hawezi kutudanganya.