Sueky JF-Expert Member Joined Nov 23, 2017 Posts 320 Reaction score 205 Jan 16, 2018 #1 Nimpenzi wa 360 nasikitika tangu juzi (Jumapili) Mnasuasua Sana.Kibaya zaidi nyie mmekazana kurusha vipindi !! Kama mitambo inasumbua sitisha matangazo maliza tatizo.
Nimpenzi wa 360 nasikitika tangu juzi (Jumapili) Mnasuasua Sana.Kibaya zaidi nyie mmekazana kurusha vipindi !! Kama mitambo inasumbua sitisha matangazo maliza tatizo.
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,141 Jan 16, 2018 #2 Tumekusikia na tutalifanyia kazi tatizi ni kuwa kwenye mitambo yetu wameingia mende na mijusi tupo kwenye hatua ya awali kuwaondoa
Tumekusikia na tutalifanyia kazi tatizi ni kuwa kwenye mitambo yetu wameingia mende na mijusi tupo kwenye hatua ya awali kuwaondoa
Jof3 JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 663 Reaction score 324 Jan 16, 2018 #3 Billie said: Tumekusikia na tutalifanyia kazi tatizi ni kuwa kwenye mitambo yetu wameingia mende na mijusi tupo kwenye hatua ya awali kuwaondoa Click to expand...
Billie said: Tumekusikia na tutalifanyia kazi tatizi ni kuwa kwenye mitambo yetu wameingia mende na mijusi tupo kwenye hatua ya awali kuwaondoa Click to expand...