Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Nimekuwa nakosa usikivu mzuri (Sauti) hasa ukitazama vipindi Mubashara, Sauti za watangazaji zinasikika vibaya sana Kama vile wapo ndani ya Pipa.
Mmekuwa TV yenye kufuatiliwa na watu siku za hivi karibuni ila kama Studio zimewashinda hata kutengeneza ili kuepusha huu mwangwi unaosikika ni hatari tupu.
Mmekuwa TV yenye kufuatiliwa na watu siku za hivi karibuni ila kama Studio zimewashinda hata kutengeneza ili kuepusha huu mwangwi unaosikika ni hatari tupu.