Clouds TV na Clouds Radio wanaegemea CCM Zaidi

Clouds TV na Clouds Radio wanaegemea CCM Zaidi

Ofisi tu makao makuu wameshindwa kujenga itakuwa tv na radio?

Aisee kumbe wewe ni mdogo sana kwenye ubongo,Sasa radio hata Dj wa maisha club anayo sembuse taasisi kubwa kama CDM
Mbona hii dhana ya kujitoa ufahamu haiwaishi vyie mavuvuzela?
 
Aisee kumbe wewe ni mdogo sana kwenye ubongo,Sasa radio hata Dj wa maisha club anayo sembuse taasisi kubwa kama CDM
Mbona hii dhana ya kujitoa ufahamu haiwaishi vyie mavuvuzela?

Mkuu jitolee nasi uanzishe radio na tv kama ni rahisi maana ruzuku haitoshi ina mambo private ya viongozi.
 
Nakosa cha kuongea juu ya hawa watu yan cwapendiii
 
Tanzania Daima, ITV ikiegamia Chadema si yo ishu. Ishu ni clouds tu. Mtu akikuambia una akili ya Bavicha ni tusi baya
 
Hawa jamaa wanaushabiki wa kijinga,Na kujipendekeza ndio kula yao.Toka nimeanza kuwatazama na kuwasikiliza wamekuwa wakiegemea zaidi kwa Ccm tu,Tena kuelekea uchaguzi mkuu ndio wamezidi kuonyesha mahaba kwa Ccm.
Interview zao nyingi wanafanya na watu wa ccm,Wakibadili kwa mbaalii..watamwita Zitto Maswali yenyewe wakiuliza ni yakubebana tu..Hovyo kabisa au Joseph hiyo Tv na radio ana featuring na Ccm?Badilikeni bila hivyo mtabaki jumba la makumbusho kama TBC.Kuweni huru kama ITV,Star Tv na Chanel Ten.
Siyo Masisiemu tu yanamtaka mamvi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom