Clouds TV na Clouds Radio wanaegemea CCM Zaidi

Clouds TV na Clouds Radio wanaegemea CCM Zaidi

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Hawa jamaa wanaushabiki wa kijinga,Na kujipendekeza ndio kula yao.Toka nimeanza kuwatazama na kuwasikiliza wamekuwa wakiegemea zaidi kwa Ccm tu,Tena kuelekea uchaguzi mkuu ndio wamezidi kuonyesha mahaba kwa Ccm.
Interview zao nyingi wanafanya na watu wa ccm,Wakibadili kwa mbaalii..watamwita Zitto Maswali yenyewe wakiuliza ni yakubebana tu..Hovyo kabisa au Joseph hiyo Tv na radio ana featuring na Ccm?Badilikeni bila hivyo mtabaki jumba la makumbusho kama TBC.Kuweni huru kama ITV,Star Tv na Chanel Ten.
 
Last edited by a moderator:
ITV nayo ni iko huru?
seriously?
channel ten iko huru?
 
Even ITV this time is bias.....money talks
 
CHADEMA anzisheni chombo chenu cha habari.
Maana mnalalamikia kila chombo cha habari as if mnavimiliki nyie.
 
Mimi huwa siwasikilizagi kabisa wala sijui kama ipo tenna . Toka kibonde anzaekuponda watoto wa elimu ya juu ila apewe ukuu wa wilaya .
 
Itv nayo niya CCM inatumika na lowassa amemwaidi mzee kumpatia vitalu vya gesi ....
 
watu wa tanganyika mnasikitisha sana tabia ya kujipendeza mpaka lini?

mm naamini mtu yeyote anajipendekeza kwaza huwa ajiamini pili ana elimu ya magumashi tatu kuna uwezekano mkubwa akawa amefoji vyeti.

sasa kwa vyombo vya habari kujipendeza kwa ccm ni kuamini kuwa ccm itashinda bt kinachonishangaza hawa hawa ndo wanalalamika kwamba uhuru wa vyombo vya habari wanatungiwa sheria za kuwabana mpaka wanataka kuladhimishwa kujiunga na TBC one kwenye taarifa ya habari lakini vyama mbadala vinawatetea kila cku bt awapati credit zozote kutoka kwao .
 
Ukitaka kutapiga au kuaribu familia yko sikiliza clouds unaweza ukatapika INI
 
Kuna mtangazaji mmoja kati ya wale watangazao katika kipindi cha jahazi ni dume lakini anasauti kama ya kike sijui ni shoga?
 
Clouds keshanunua rostam ...we unafikirije sasa hapo...kama si kusifia chama tawala mpaka basi...lakin ni media ya private na wanalipa kodi so sio ubaya hata wakisifia masaa 24 + 1 ...wana haki...
 
Kweli CLOUDS MEDIA walianza vizuri but now wanafanya vitu vya ajabu sana

Wasipojirekebisha watajutia.....
 
CHADEMA anzisheni chombo chenu cha habari.
Maana mnalalamikia kila chombo cha habari as if mnavimiliki nyie.

Tunakosoa utendaji usiofuta maadili,Hatulalakimiki.Mbona nyie magamba ndio mnaongoza kwa kulia lia na vyombo vya habari.Na kuvifungia kama haviwabebiii?
 
Kibo10

''Mlianza na Mungu, mpo na Mungu na mtamaliza na Mungu''.............sasa hapo sijui povu la nini, au Clouds ni kubwa kuliko Mungu na ndio maana unalalamika/
 
Last edited by a moderator:
ITV nayo ni iko huru?
seriously?
channel ten iko huru?

Clouds Tv wana kipindi kinaitwa 360 kifuatilie
Then fuatilia na kipima joto Itv na baragumu chanel ten.Halafu njoo hapa unipe mrejesho wa waalikwa kwenye vipindi hivyo kama ni sawa na clouds.Fanya utafiti hata kwa two weeks
 
Mimi huwa siwasikilizagi kabisa wala sijui kama ipo tenna . Toka kibonde anzaekuponda watoto wa elimu ya juu ila apewe ukuu wa wilaya .

Dah..Yani kibonde ndio kilaza kabisa maana mahaba yake kwa Ccm ni yale niuwe
Hata taaluma yake kaamua kuiasi
 
Mimi huwa siwasikilizagi kabisa wala sijui kama ipo tenna . Toka kibonde anzaekuponda watoto wa elimu ya juu ila apewe ukuu wa wilaya .

tena huyu jamaa ni bingwa wa kujipendeza kwa wazee wa mtaa wa lumumba dah sometime anaweza kuongea vitu mpaka msikilizaji wa kipindi chake unaona aibu dah mm nadhani sometime anajusahau mpaka kujua yeye ni njinsia gani? kwa maana vitu vingine anatakiwa kuongea mkewe anaongea yy
 
Clouds Tv wana kipindi kinaitwa 360 kifuatilie
Then fuatilia na kipima joto Itv na baragumu chanel ten.Halafu njoo hapa unipe mrejesho wa waalikwa kwenye vipindi hivyo kama ni sawa na clouds.Fanya utafiti hata kwa two weeks

Najua clouds tv wana watu wao wanawa favor

same na ITV channel 10
 
Back
Top Bottom