Clouds TV mnatia aibu!

nifah umerudi mumie jamani i mic u people, na warumi nae alisepa nilibaki na diva tu. Welcome

Miss you more dear, halafu umenikumbusha ngoja nimcheki warumi PM maana umbea hadi nimeanza kuusahau kwakweli.
 
Last edited by a moderator:
Wana muda mrefu lakini hawajifunzi tu na kubadilika.........!!!!

Mtaniii...mambo? Leo tukutane jioni sports kule.
Vipi Masuke kapotelea wapi? Nina muda sana sijamuona humu!
 
Last edited by a moderator:
Clouds matangazo ni kero.....matangazo mengi mfululizo na bado mtangazaji akianza kuongea anaanza na matangazo kwanza......dakika za habari au maudhui ya kipindi ni chache sana.....
 

umeona eeh wanaoikandia clouds ndo wanaitazama muda mrefu. wefkiria wamemjuaje mtu mwenye midevu ya 0 na anaekula pop corn

Chamuhimu watoe hadithi za jicho la mwewe watupe habari zilizozidi mbili na si vinginevyo
 
Aisee kumbe umeona ilitokea siku moja CLOUDS TV IMEGONGANA NA MACHO YANGU .....NIKAONA MAELEZO MAREFU YAMEKAA KAMA HABARI AU SI HABARI BAADAYE NIKSHTUKA NI TAARIFA YA HABARI! WAO WAPIGE MZIKI NA KUISHADADAIA CCM!
 
hahaha ndo hilo lenye midevu ya duara anatangaza utafikir yupo kwenye kikao cha harus...halafu anajionaga downtown wakat mwonekano una mprove wrong!!!
Nilipomsikia tuu nilitambua ..hao jamaa wawili wana tabia tofauti ila zote zinasema uhasilia wa watz..Huyo anayejisafisha, ni mtu anayejitetea kuwa wa mjini kwa vile ni wa kijiji..na km dada zake wamemwambia handsome basi muonekano wake ni hazina kubwa sana,na wa pili ni wa mjini anayefura kujitahidi linda himaya yake kuwa yeye ndio watoto wa mzizima hakuna wa kuwafanya kitu na hivyo anayelte ujinga anambania tuu..
 
Ila wana audience kubwa ktk watu wa mjini..hata mawaziri,na wafanyakazi wa maofisi wenye hadi hawa wanatopo up na MBA.Kwa nchi yetu hao ndio wasomi wetu.Kuna watu habari zao ni JF,Clouds(radio asubhuhi,TV mida mingine),MPira na baadhi ya vipindi vichache ktk TV nyingine.
 
Kiukweli wanaboa ukiangalia taarifa yao ya habari ni kama comedian ni bora wasiwe na taarfa ya habari tu waendelee kyfanya promo maana ndo wanachoweza zaidi
 
clouds taleviiision...the people statiiion...

tunakufungulia dunia...
 

Mkuu we umeliona leo hili? Lipo Kitambo saaana
Juzi bila mkutano wa CCM wasingekuwa na habari hata moja,maana walipiga hiyo habari kwa urefu kisha Mwewe Mchepuko huyoo(Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,Kitengo cha Jicho la Mwewe nakikubali saana)

Sasa kali zaidi,hawana muda maalum wa Taarifa ya Haabri,Schedule yao inasema saa Moja na Nusu,ila wanakupigia mbili kasobo,wamewahi saaana mbili kasoro dak 20 au 25.

Habari zao za Ndani haizidi dakika 5 wamemaliza,na ndio maana huwa wanaanza na Ngonjera kwanza Kama mrisho mpoto,hadi uje upate habari umeishaletewa madudu teleee hata yasioendana na tukio,sijui nani kawaambia hii style ni nzuri,maana usipokuwa makini unaweza hata usielewi kama taarifa ya Habari.

Clouds Ni Chama langu ila kwa Hili wapo Hovyo kabisa

Mie Clouds naangalia Kipindi cha Michezo tu cha Usiku kina Shaffii Dauda basi kile cha Sports Bar,maana pale mpange mzima.
Na pia Antonio Nugaz kwenye Kipindi Cha Kambi Popote,Big up Brother hili ni Bonge la Kipindi

Ila taarifa ya Habari waachie wenye Fani zao

Ila lazima tujue kwamba umaskini nao ni Janga,walikurupuka kuatangaza Taarifa ya Habari bila kujua kwamba Cameras kwa Reporters inabidi ziwe za Kutosha.Sasa utakuta Camera ikienda kenye mkutano basi kama reporter hajapata tukio jingine wakati anarudi studio basi ndio imetoka,hahahah aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…